Mahakama ya Norway yameamua kuwa Anders Behring Breivik ana akili zake timamu, na imemhukumu kifungo cha miaka 21 kwa kuuwa watu 77 mwezi wa Julai mwaka jana.
Breivik anatabasamu
Upande wa...
Si kwamba napinga kuwepo matuta barabarani, lakini hili tuta la barabara ya Akachube Kijitonyama ni kero, gari ndogo lazima liburuzike, limejengwa bila utaalamu wowote, mkandarasi alipoambiwa...
PICHA NA IKULU
Mwenyekiti wa taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akiwa na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt Asha-Rose Migiro baada ya Mama Kikwete...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao mcha Kamati Kuu cha CCM leo Agosti 24, 2012 jijini Dar es salaam Picha na Ikulu
Hizi ni moja ya mbinu za ccm kuzuia m4c ya chadema, hapa ni wakiwa wamechimba barabara ili msafara wa chadema -m4c usiingie kijiji cha namgezi kata ya keya ulanga mashariki...kwa fikra izi je ccm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.