huyu kijana kwa kweli ana ngozi nyororo saana.
Yaani ngozi yake ina weusi fulani wenye mngaro kama wa silk hivi.
Matukio mbali na kuwa mmoja wa wanaume wenye ngozi nzuri zakuvutia pia ana...
Mijanaume ya tamaa.................hebu ffikiria amekuwa kama alibyozaliwa mbele yako..............katumbo hako...ubavu wa Diamond..........ooooooppssssssss!!!!!...uzuri wa mkakasi...............
Kwa wale wapenzi wa zile Movie za Kibabe natumaini mtakua mnawafahamu hawa jamaa yaani Clint Eastwood hapo kushoto kwako halafu na kulia kwako ni Samwel L. Jackson! Nani anabisha kama hawafanani...
Wana Jf naomba mnisaidie....
siku za nyuma nilikuwa natuma picha natumia "insert picture", lakini sasa hivi hiyo option haifanyi kazi na inataka uweke url.....
naomba mnisaidie vipi naweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.