huyu jamaa katoka bara kaenda visiiwani kuchunga mifugo yake ..dah!! sijui aliwabebaje hadi huko visiwani
NB: kama mnataka kuuvunja muungano ikataeni ccm kwanza bila hivyo itakuwa imekula kwenu...
Wednesday, May 30, 2012
Baada ya kazi pevu ya uzinduzi wa tawi la Chadema jijini Washington Dc wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamtembelea rasmi Balozi wa Tanzania...
watu wakimsikiliza rema
watu wakimsikiliza tundu lissu
watu wakimshangilia sugu alipokuwa anachana misitali
pamoja na mvua iliyokuwa inanyesha, watu hawakuchoka kuwasikiliza viongozi wa...
Wanakwaya wa Kenya wamtumbuiza Malkia wa Uingereza...
Watanzania mbona hamjipendekezi kama majirani zetu??????
Angalia clip hiyo chini
BBC Swahili - Medianuai - Kwaya ya Kenya yamtumbuiza Malkia
jamaa anaonyesha chupi ya bibie ambayo amekuwa akivaa na wapenzi wake wengine hata walimkimbia alipoyavulia maji...................na hata kabla hayajaoga nao walimkimbia...lol
Angalia hii picha (katuni) aloafu ulinganishe na hizi thread hapa chini.
Isipoeleweka samahani lakini ndio uhalisia wa elimu yetu na huenda isizae lolote la maana mbali na kutumia pesa nyingi...
Elimu ni ufunguo wa maisha angesoma huyu asingepeleka njaa zake kwa mwanaume mwenzake. Someni msimame kwa miguu yenu somesheni watoto wenu la sivyo watakuja kulilia wanaume wenzenu kama hivi.
sio...
Barack Obama: the college years
In 1979, he was an 18-year-old freshman who liked Earth, Wind & Fire and wore silly hats. David Maraniss' new biography reveals how...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.