Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Haya mambo gani tena?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
<!--[if gte mso 9]><xml> <w:WordDocument> <w:View>Normal</w:View> <w:Zoom>0</w:Zoom> <w:TrackMoves/> <w:TrackFormatting/> <w:PunctuationKerning/> <w:ValidateAgainstSchemas/>...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii ndio safu ya Marais wastaafu Afrika waliohudhuria mkutano wao Afrika Kusini ukiongozwa na Balozi wa zamani nchini Tanzania Bwana Charles. Mwinyi, Mkapa na Karume kutoka Tanzania, Thabo Mbeki...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Nauza school bus hiyo hapo juu,bei maelewano.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
duhu, tukumbuke tulikotoka. si miaka mingi iliyopita. hii ilikuwa Tanganyika 1915 chini ya himaya ya mjerumani. reli na barabara zilijengwa kwa kasi ya ajabu. wabongo tulikuwa weusi mpaka...
7 Reactions
35 Replies
4K Views
Nguvu vimenishia furaha Tele moyoni walahi nakuapia sijimudu taabani kwengine sito sogea huko nitafute nini:) Boflo upooooooooooo?
5 Reactions
26 Replies
10K Views
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi an Teknolojia January Makamba akikaribishwa makao makuu ya Vodacom Tanzania na Ofisa Mkuu wa Mahusiano na Mauzo kwa Wateja Wakubwa waVodacom Tanzania Mwamvita...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nikajichimbia huku kwa Kitonsa nikingoja mtandao urudi hewani. Ha ha ha!
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Hii inadhihirisha jinsi gani rais wetu hawezi kuwatupa mabest wake wa enzi hizo hata kama watakua wagonjwa kiasi gani,hapa enzi hizo za ujana wao
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Hapo ni Voda.Je wataongea kusaidia jamii au wata chakachua?
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Ama kweli maendeleo hayaji kwa bahati, bali kwa Mipango na Bidii ya kazi. Tazama hii, kulingana na uzoefu wako ni mkoa gani wenye watu wa bidii kama hii ?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa mbali watu wakiserebuka baada ya Mahakama Kuu kutupilia mbali mashtaka matano yaliyokuwa yana mkabili Mbunge wa Jimbo la Ubungo John Mnyika hivyo wana CHADEMA walikuwa wengi Mahakamani hapo...
11 Reactions
58 Replies
8K Views
Mtanzania wa kwanza kufikia kwenye kilele cha mlima everest.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Unapo sikia na kuona mijitu mizima iliyokwisha zao inatowa magari na harama nyingine kwa kabinti kama huyu alimradi tu shoka lifanye kazi yake ,kuna uwezekano anayowafanyia hata kwa wake zao au...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni mjasiriamali aliyetukuka, anapatikana jijini DAR.................!
6 Reactions
15 Replies
2K Views
............X
1 Reactions
5 Replies
3K Views
hata viatu?
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom