Wa laaniwe wanaowabagua wenzao.Wanaongoza kupinga vitendo vya kibaguzi duniani.Tukubari tukatae hilo ni domo lao tuu vitendo vyao SAY YES TO RACISM angalia kwenye uwanja huu ni British tuu ndege...
Jamaaa anafahamika kama Manute Bol (r.i.p) kutoka Sudan ndo anaaminika mcheza basketball mrefu zaidi kuwahi kutokea katika historia NBA. alicheza miaka ya 80 na 90.
inasemekana hasheem thabeet...
Waziri Mkuu Msatafu Mh. Edward Lowassa akiwa nje ya Kanisa Katoliki Parokia ya "Wami Sokoine" akiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe...
nimezinasa kwenye blog ya mdau mmoja huko bk
BUKOBA PAMOJA
issue hapa ni kwamba wengine tumesoma kwa hii kitu,ni kinywaji maarufu sana huko bk,imenikubusha mbali
Jamani hiyo kitu inaitwa ntuntunu............yaani ukiiila hiyo sijui nikwambieje...........siku moja moja mrudigi nyumbani.
Kwa kweli ukishushia na " Kantu kaitu kaila" a.k.a Nkonyagi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.