Zainabu Daudi, Miss Tanga 1996, kwa sasa ni MKE WA MTU na ana mtoto mmoja. Mwaka huo Miss Tanzania alikuwa Shose Sinare. Picha kwa hisani ya mwana dikala
Nilidhani haya mauaji ya albino yameshakoma kwani ni kipindi kirefu sana sijasikia habari za albino kuuwawa Tanzania, sasa pamoja na yote hayo kituo cha television cha ufaransa France 24, ndani ya...
I am just curios kwa vile kesi hizi tulisikia zikitangazwa kuwa zitafunguliwa lakini baada ya hapo naona kimya tu:
(1) Mbunge Nimrod Mkono wa Musoma Vijijini dhidi ya Dr. Slaa kwa kumwita fisadi...
Wasanii wengi Tanzania walipofariki nilisikitika lakini sikuwahi kulia machozi ila kifo cha Steven kimenitoa machozi.
Inauma sana jamani.
Pumzika kwa amani Kanumba the great.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.