Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Bado sijajua ni sababu ipi iliyotoa dhamana kwa polisi kutoa kipigo cha mwizi kwa msanii huyu ila picha inasikitisha. Polisi ni chombo cha usalama kweli??????? Pole yake..
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Mh Zitto Kabwe ameitaka Serikali kufufua viwanda na kujenga vingine ili kuendana na Ongezeko la watu nchini. Zitto amesema viongozi hawapiganii kufufua Viwanda kwa...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Maisha mazuri kwa vibabu. chezeya kili uta-jikerry
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Twendeni na wakati jamani , kutumia Ipad sio anasa wala ubishoo, bali inapunguza kero ya kutembea na makaratasi.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hapa yupo na Mzungu....... kisa mzungu hakutaka kukanyaga kanga wala mkeka........ Hapa Akiwa na Wamatumbwi....atadai mkeka...kanga...nk eti asichafuke....usanii mtupu!!
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Happy Easter
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamaa yupo JF.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama kakata mawasiliano nae niunganishe na ili pasaka yangu hii iende vizuri
0 Reactions
3 Replies
2K Views
familia nzuri ya kupendeza kabisa.wanaangalia kitu gani tena?
1 Reactions
32 Replies
5K Views
pasaka njema.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pick-Up hii aina ya Toyota leo mchana imenaswa na askari wa usalama barabara maeneo ya Posta ya zamani jijini Dar es Salaam ikifanya shughuli za kuwapeleka na kuwarudisha majumbani wanafunzi wa...
1 Reactions
39 Replies
43K Views
. ................mtaje
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Huyu kijana, kama atawasahau watu wake wa Arumeru Mashariki basi ajiandae kwa laana mbaya sana. Hizi baraka alizopewa za kutoka Moyoni haswa na akizitumia vibaya, zitamuharibu na kumpeleka pabaya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
CCM hawajui hizi kampeni ziliisha pitwa na wakati wa TZ wako macho? Hii strategy iko out of date ndio maana wameanguka Arumeru!!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nadhani haya ndiyo wanayosema, what do you think?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WABUNGE WA CCM WACHAGUA WAGOMBEA UBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI LEO Mwenyekiti wa wabunge wa CCM, Waziri Mkuu Mizengo Pinda (watatu kushoto) akiendesha kikao cha wabunge cha kura za maoni za...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom