Wakuu habari,
Heri ya sikukuu kwa waislamu wenzetu wote..
Binafsi yangu naona huu uwe uzi maalumu wa kutupia picha mbalimbali wa nini kinachoendelea maeneo mbalimbali nchini haswa ya mkoa wetu...
Watu kweli tunatokea mbali sana. Hapo chini ni katibu mkuu wa sasa wa CHADEMA na mwenzake hapo ni Mh. Heche.
Hakika CHADEMA chuo kizuri cha kukuza vipaji.
In God we Trust
Nimeshindwa kupata jibu, yamkini maneno lazima ya time kwenye kiti cha enzi, atakae jinasibu kule nyuma bila mawasiliano na kiti cha enzi anatenguliwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.