Mwenyekiti katoa ufafanuzi kuwa huyo ke huwa anakunywa akiwa na mtoto mdogo mgongoni hivyo anahatarisha maisha ya mtoto mdogo ndio maana kapigwa pini na huyo me anahatarisha maisha ya wazazi wake...
Nko na temba tunaikata kvant taratibu
Dah kwenye kikao temba Ana tape measure Ana Pima mkao wa mita moja moja hataki utani
Hii coonaaa hiii
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hii mbinu mpya wamekuja nayo wadada wa town, kwa hiyo mabaharia kuweni makini, ukimbaini mapema wambie arudishe salio lako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.