ENZI HIZO ILIKUWA NI KAWAIDA KUONA MAKABILA AU WENYEJI FULANI WAKIWA KATIKA MAVAZI YA KIENYEJI SIKU HIZI MILA ZIMEBADILIKA SANA KUTOKANA NA UTANDA WAZI WA TEKINOLOJIA:israel:
Mapenz yanataka elimu but si wote wanaojielimisha na elimu hyo ya kuwafanya wenza wao wajione bora kwao.
Kushindwa kuipata elimu hii tumejikuta 2kitumia majivuno na kuendesha love pasipo maana...
Ama kweli mwanamke anadharilishwa sana katika tanzania yetu. Jamani akina kaka msifanye hivo nao hawa ni binadamu siyo wanyama, msifanye udharilishaji huu wa kijinsia. Ivi ananile inkya...
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema, akipita jirani na polisi waliokuwa wakiimarisha ulinzi katika mahakama ya Mkoa wa Arusha ambako Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, alipokuwa amefikishwa...
Maskini watoto hawa, tena wapo eneo nyeti linaloingizia hii nchi mamilioni ya shilingi kwa mwaka. Watoto wa umasaini wakiwa darasani. Nini cha kujivunia miaka 50 ya uhuru kama hali bado mbaya...
Ukiingia msituni, waheshimu wakazi wa huko.
Sio, mara unawashia taa.....mara unawapiga indiketa na mahoni kibao!
Wenye msitu hawataki hizoo!!
Hasa ukikutana na mzee Jumbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.