Wakuu hii picha kwa wale tunaokumbua au tuliosma kanumbas ezni zile za sokodnary kwenye mtihani wa gegrapgy kulikuwa na swali la Photograph and map interpration. Lilikuwa lina masi 40 ama...
Inaonekana CCM wameanza kamchezo ka kuwagawia sana pipi watoto kila wanapokwenda.....
Je hii inaonyesha ni upendo kwa watoto hao au kuna nia nyingine maana hawa watoto hata kura hawapigi kwa hiyo...
Wadau,
Makamu wa Rais ailikuwa hapo Songea kwa ajili ya uzinduzi wa siku ya Mazingira duniani. Lakini ukijaribu kuiangalia hiyo picha kwa makini utaona kuna sare za kijani na njano za chama...
Nipo safarini kuelekea Samunge kwa Babu, napitia hapa (KILIMANJARO INTERNATIONAL AIRPORT (KIA), najikia kwenda maliwatoni. Naingia hapa maliwatoni (GENTS), napokelewa na harufu kali sana ya...
Rafiki yangu mmoja ambaye anafanya kazi Ikulu jana amenipa picha ya JK akiwa amekunja Nne katika jumba letu la Magogoni. Swali la kujiuliza, inafaa rais wa Nchi ambaye nchi yake ipo gizani...
Ni mkazi mmoja wa mkoa wa Pwani, kama alivyonaswa na kamera ya mpiga picha wa magazeti ya Serikali, akinywa maji baada ya kuzidiwa na kiu, maji ambayo....! (sidhani kama ninahitaji kuandika lolote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.