Aliyekua muimbaji wa nyimbo za bongo fleva Stara Thomas sasa amempa Bwana Yesu maisha yake!
Hapo awali alisikika kwa nyimbo maarufu kama Sikia, Sitorudi nyuma, my body na Chldren rights ambapo...
Kutokana na mikasa inayolikuta taifa letu kwa sasa naomba kuwasilisha, hivi kweli mainjinia wa Taa Nesco wanaruhusu kitu hiki kufanyika? hivi hawa wanastahili kulipwa kwa kazi waliyokamilisha...
Kikwete Aingia Gongo la Mboto kwa Ufahali na Mali ya Watanzania
Kikwete Kama kawaida anaropoka kwa Watanzania. Ripoti ya Mauaji Mbagala Iko Wapi?
Kikwete Anataka Picha Nzuri ya Gazeti...
Katibu Mkuu wa Chadema,Dk.Willibrod Slaa akiwa na Mke wake kwenye mazishi ya mama na watoto wake wawili kutoka familia moja ya Jacob Nyajengo wa Mzambarauni,waliokufa kwa kuangukiwa na nyumba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.