wana jf
nashindwa kuelewa kwa nini arejeapo jk kutoka majuu lazima viongozi wote muhimu waende kumpokea?kwani akienda makam wa raisi peke yake au waziri mkuu peke yake haitosho?huu ni...
Kila siku umeme, umeme, oohh Dowans, Dowans jamani vyanzo tunavyo vingi sana vya nishati hii ni kujipanga tu.
Hakuna haja ya kuishi giza wandugu. :wink2:
Huyu Bwana pamoja na vijembe anavyotupiwa na wapinzani wake, nadiriki kusema ni kiongozi wa mfano wa kuigwa na viongozi wetu wengi hapa Africa. Chini ni picha zake pamoja na maelezo kidogo kama...
watanzania wenzangu,
Tumeshuhudia ajali kadhaa ambazo zimesababishwa na uzembe wa viongozi wetu. Mfano ni kama vile ulipukaji wa mabomu kule Mbagala na Gongo la Mboto. Habari za uhakika ni kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.