Nyie wasee mko wapi? Mmekuwa kimya hadi inatisha?!
Hii ni zawadi yenu toka kwenye mini-fiesta inayoendelea Tanzania kote:
Steve Dii naona macho yako umeelekeza 1100. NN nakuona macho yako...
katika kazi ya kisanii iliyoleta kasheshe nchini brazili na kwingineko duniani, msanii gil vicente anaonesha picha za kuchora namna bush na wenzake kama malkia elizabeth, papa benedict xvi, rais...
Haya hii ndio kufuru ya kushiba au ndio fashion ? Lady Gaga mwanamuziki wa huko uliko ungua mpini kukabaki shoka akiwa na gauni lilotengenezwa kwa nyama katika hafla ya MTV Video Music awards huko...
mtoto alimuuliza swali mama yake.
Eti mama siku hizi wewe unauza "mchicha" ???
Mama akajibu, hapana mwanangu. Kwanza kwa nini umeniuliza hivyo ???
Mtoto akasema, jana usiku nilimsikia...
Je wajua kuwa licha ya mgombea wa CCM Jakaya Kikwete kukacha mdahalo na wagombea wa vyama vingine anapatikana kirahisi mtandaoni ambapo "anauza" sera zake na "mafanikio" yake?Kama ulikuwa hufahamu...