Hakika kifo hakina huruma, hakina saa wala notisi.Kilichomtokea mzee huyu leo asubuhi pale Ubungo Bus Terminal kinasikitisha sana. Mzee wa watu, ametoka nyumbani kwake asubuhi na mapema...
Sorry pictures zimegoma. Hope wataalamu watatusaidia katika kuzidownload kutoka kwnye blogs mbalimbali. Of course huu ulikuwa uwe mwendelezo wa mwandishi mmoja wa ccm aliyetoa analysis yake humu...
Wakulu ijumaa ndio hiyo tena kesho October 1 pale VIP Diamond Jubilee Hall kutakuwa na Usikuwa Khanga za Kale
Kama kawaida nitawaletea mapicha ya usiku huo wa Kanga atiii...
Wakuu nimeiona hili bango la Mgombea wa CCM bwan Jk ikiwa imechakachuliwa .Inasemekana vijana wa CCM waliokuwa wanabandika ndio wameichakachua . Msg sent.
What a striking image this will be - Anyone going to Brazil for the Olympics in 2016 ?
Olympic Tower 2016... For Rio de Janeiro
This vertical structure will be placed in Cotonduba Island...
tunaambiwa mzee wa kukwepa kiatu kwa sasa mambo yake swaaaaafi; kifriji kinachomoza utadhani mtemi fulani wa kiafrika au mbunge wa bongo; huku akitumia muda mwingi kupiga soga na mkewe Laura...
Kampeni za uchaguzi wa rais wa Zanzibar, wawakilishi na madiwani zinaendelea kwa amani na utulivu huku vyama vya siasa vikipata fursa ya kupiga kampeni zao kwa amani na utulivu.
Pichani...