Hospitali ya Ludewa (Jimbo la Prof. Raphael Mwalyosi) !!
Akina mama ambao wanawauguza ndugu zao katika hosptali ya Wilaya ya Ludewe wakisonga Ugali nje ya wodi ya akina mama wanaosubiri...
Meneja Uhusiano wa TBL,Edith Mushi (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milion 4.8 kwa Mwenyekiti wa TASWA FC,Majuto Omary kwa ajili ya mashindao ya Bonanza huko mkoani...
Siku izi waafrica na hasa wabongo wakipiga picha lazima waonyeshe alama ya V, au kumwonyeshe kidole mwezake.
Ivi huwa mnajua maana yake au mnaiga tu?
Kwann mnakuwa feki ivi?
Nilikuwa nasoma habari za burudani katika website ya CNN nikakutnana na picha ya Lauryn Hill kama inavyoonekana hapa chini. Kilichonikuna zaidi ni hiyo background banner inayoonyesha Tanzania...
Kwa wale wanaohitaji hii, zipo za kumwaga from Small size to XXXXL. Zapatikana katika ofisi za vijana wetu Lumumba na hata mikoani. ukihitaji uje na kitambulisho chako cha Kazi..ni bure hakuna...
Wengi huwa na hisia tofauti kukutana na mwanamke anayefuga ndevu kama dume!!. Hizi ni za kike..
Annie Jones toured with P.T. Barnum's circus in the 19th century.
Crazy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.