Sijui ajali nyingine tunaweza vipi kuzifafanua.. lakini kinachonishangaza ni hawa wanaojitokeza kuzishangaa hivi wanafanya kazi zozote au ndiyo kila mtu amejiajiri mwenyewe?
Wakati lengo la mkutano wa kimataifa kuhusu ukimwi duniani likiwa ni kujadili na kuonana maendeleo na mafanikio katika nchi mbalimbali Tazania tukiwa wamoja wao lakini banda letu limekuwa kama...
Jamani Zimbabwe ni kero tupu. Inasemekana hela haipatikani kwa sababu uchumi umezorota. Kisha dala zilizopo zinachafuka na kunuka mpaka inabidi zioshwe....kudadeki!!!
JK akutana wasanii nyota wa bongo fleva Dodoma
JK akisalimiana na Ruge Mutahaba ambaye ni kiongozi wa Nyumba ya Vipaji (THT) ambaye yuko Dodoma na wasanii nyota kibao ambao watatumbuiza...
Why we need Education Development Fund. Please visit this picture gallery you will find the answer.
<TABLE border=0 cellSpacing=5 cellPadding=5 width="100%"><TBODY><TR><TD vAlign=center...
Sasa hawa akina mama wawili kumbana huyu kijana mdogo wa kiume ni sahihi kweli? Au kuna raha fulani wanapata? Wewe angalia nafasi walioacha mbele na nyuma yao!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.