Naangalia Dr Shein akifunga maonesho ya viwanda ya SADC ikiwa ni mubashara, nikajaribu kufuatilia television zinazorusha mubashara tukio ili muhimu ni ITV, EATV, Channel Ten na TBC, kufika hiyo...
Bado yule msanii matata na mzoefu wa katuni leo hii ametujia na katuni tatanishi na safari hii ili uweze kuisoma inabidi akili yako iwe inachaji.
Kwetu siye kina asante Kayumba hatuja funua kitu.
Wakuu Mnaonaje hili Vazi alilovaa Mtangazaji wa TBC leo lifanywe vazi rasmi la Taifa.
Naona limemtoa sana linataka kufanana na yale mavazi ya wanaanga wa NASA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.