Wale mliowahi sikiliza Radio Tanzania Dar Es Salaam (RTD) mtawakumbuka watangazaji wakongwe Abdul Ngarawa na Jacob Tesha. Mzee Tesha pia alikuwa mwamba kwenye External Service.
Wakuu salaam.
Rangi au alama yoyote ktk bendera huwa ina maana fulani au inawakilisha kiti fulani.
Naomba kuuliza kwa wajuzi wa mambo, hivi rangi zilizopo ktk bendera ya Chama cha Demokrasia na...
Wanajamvi leo nimeona picha ya kiberiti cha zaman kule kijijini tulikiita "ekibiriti kwe kyoma" yaani kiberiti cha chuma, nakumbuka muda uo umeshikwa tumbo la kuhara alafu umuamushe bi mkubwa afu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.