Tumekuwa tukihimizwa kuwa tujiajiri wenyewe na wakubwa wetu lkn mambo tunayo kutana nayo mitaani ni kama picha inavyo jionyesha.
Je unajua nini kitafuata hapo?
Kuna matumaini ya kujipatia ridhiki...
Nini kimemlazimu huyu mtu kujizungushia duara na ni kwa nini kaweka fimbo chini na kailalia?
(binafsi nimeona amechoka kaamua kulala, lakini katika kulala ameona ni bora achole hilo duara na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.