Siku hizi hawabomoi na yale mawe makubwa.
Wanakwenda kidigitali zaidi, Wanakupulizia dawa ya usingizi halafu wanatoboa, wanazama ndani kimya kimya, halafu wanaondoka kimya kimmya.
Kama wewe ni afande na unakwenda kuitembezea kichapo njemba kama hii lazima ujipange aiseee.
Unaweza kula za uso ukaishia kupiga kelele "Good Morning sir", wakati hauko darasani.
Hatimaye mfanyabiasha Mo Dewji ameswali swala ya Ijumaa katika msikiti uliopo mtaa wa Indira Gandi jijini Dar es salaam ikiwa ni mara ya kwanza kuonekana hadharani tangu alipotelekezwa na watekaji...
'GADO' Godfrey Mwampembwa ni Mchora katuni mwingine ambaye Namkubali sana na sanaa yake ya Uhakika na Kufikirisha. Kwa kazi zake zaidi cheki hapa Tovuti ya Gado Toons
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.