"Msije mkasema hamjaambiwa, wengine mnavichwa kama rungu au dume la siafu, sasa hilo wigi likipeperushwa na upepo kumbe ulikuwa unaficha uwalazi usije sema huku ambiwa. Ikiwezekana muyagongelee...
Nimetafakari picha ya NAHUJA kwa umakini sana. Sijui kijana huyu alikuwa na umri gani wakati ananong'onezewa jambo na mkuu huyu. Je,. alichoambiwa alikitekeleza? Kama jibu ni HAPANA angetekeleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.