Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.....kwa style hii huyu jamaa kajitahidi sana hata kama tutamtusi kwa mambo mengine...Ni matumaini yangu daraja la kudumu nalo litakamilika kwa haraka sana...
Mwaka jana walifungwa na Mc Alger goli 4 mpaka wakapoteana Airport .
Mwaka huu wamefungwa na USM Alger goli 4 tena kwa ball possession 76%-24%...huu si uduwanzi 76%-24%
Hii ni fedheha kwa nchi...
Picha ya leo! Prof Kitila Mkumbo 'akipigiwa pande' na Mheshimiwa!
Mheshimiwa amesisitiza kuwa zege hailali! Swali, je Prof Kitila atalaza zege?
NB: Mh alikuwa akisisitizia juu ya kutatua kero/...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.