Gavana wa Nairobi kwa sasa, Mike Gideon Mbuvi au ukipenda Sonko. Enzi zilee...juzi juzi tu alipokuwa Mbunge kisha akawa Seneta. :)Ila siku hizi anajaribu sana 'kutokelezea' kama magavana wenzake. :D:D
Mwigizaji Lucas Mhavile 'Joti' akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Kigamboni nje ya nyumba yake aliyowekewa alama ya X kupisha upanuzi wa barabara eneo la Kibada...
Vituko vya Wazungu, Njoo Uwe Mbunge
Ukitaka Cheo, Ubunge, Urais 2015 Mwone mganga wa jadi maarufu toka Ulaya. Hivi ndivyo kamera yetu ilivyomnasa akiagua huko Arusha
Sijui ni ushamba wangu!.....
Hivi watu wengine mnajisikiaje mkikuta hii midoli ya kudisplay nguo (mannequin) zimevalishwa "ovyo ovyo " au zimeachwa tupu hadharani?...
Binafsi najisikiaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.