Kama ilivyo ada, kwaajili ya kurefresh bongo zetu humu jukwaani. Share hekima za mzee wetu mugabe.
Mimi naanza na hizi hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Unashauriwa kunywa maji zaidi lita 2 hadi 5 kila siku ili kuepuka mawe kutengenezeka kwenye figo.
Maji ndio husafisha seli na kuondoa sumu na kemikali zinazojitengeneza mwilini kuwa mawe.
Mawe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.