Nashukuru sana wakuu kwa mchango wenu, nimejiunga JF tarehe 30/08/2017 Leo hii nimekuwa Senior member kutoka kwenye Member...na Niko mbioni kupewa U-expert member
Timu ya madaktari waliookoa uhai wa Mh. Tundu Lissu kwa huduma ya dharura wakiwa chini ya Dr. Mpoki (katibu mkuu W/ Afya) Dr. Mponda (Orthopaedic) Dr. Samwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachonishangaza ni Kuvaa sare za Chama cha Mapinduzi kipindi chote cha Kampeni lakini sasa hivi pia anaonekana yupo na Mkemia.
Okay wakuu kuna Mmoja anajihusisha sana na Ugeni wa Kimataifa...
Wajumbe wa kamati maalum iliyoundwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli wakiendelea na majadiliano na timu kutoka kampuni ya Barrick Gold Corporation. Tarehe 08...
tufunge siku leo kwa kutazama vipaji OG kutoka kwa watoto wetu wazuuri wa kiafrika....burudani mtambuka kama hizi unaziangalia ukiwa umechoka chokiiii.....
#NEXTCELEBS
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.