Hakika utakuwa na kumbukumbu za kutosha kama ulipitia vibanda umiza kipindi hichoo, hebu tuambie unakumbuka wapi?
Kwa upande wangu nakumbuka nilikuwa naziangalia muvi hizo pale kinondoni shamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.