Haya si maigizo wala photoshop..,
Hivi karibuni mtemi huyu alikuwa akifanya ziara nchini mwake na alipofika sehemu fulani aliamua kuusimamisha msafara wake, kushuka na kuchukua kiti chake na kukaa...
These images show high level of anger, frustration and despair
Lakini ya huyo mwanamke, ni kama anasema sina cha kupoteza sasa. Njooni. Nimesimama imara na kishupavu. Sitishwi na silaha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.