Wakati dirisha dogo la usajili likikaribia kufunguliwa Desemba 15, mwaka huu, Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amewaambia wanachama na mashabiki wa Simba kuwa, wakae tayari kumuona mchezaji...
Kwanza kabisa niseme wazi timu yetu ya taifa ni nzuri na inaupiga mwingi sana sio kibonde tena huko tushatoka.
Ukiangalia mechi za Taifa Stars na Congo DR huwa hazina mnyonge. Lolote humkuta...
Tuweke hapa idadi ya wachezaji ambao wameifungia team ya Taifa mabao mengi waliopo timuni mpaka sasa.
1. Simon Msuva
2. Mbwana Samatta
3. Feisal Toto
Na makipa ambao wameibeba sana team ya...
Kila wakianza mechi wanatoa mpira nje
Imani za kishirikina zinaitafuna timu ya Taifa
Miaka hii ya karne ya 21 bado mnaamini Imani za kishirikina ?
Soma Pia: Full Time Tanzania 1 - 0 Guinea |...
Watanzania mkae muelewe Sisi kama wa Guinea lazima tushinde Leo, mtaongea yote lakini Sisi kama wananchi wa guinea tunaoishi Tanzania kikazi tunawapasua Leo.
Kumbukeni hii sio Guinea-Bissau au...
Just imagine squad yote kuanzia kipa, beki winga viungo mpaka washambuliaji wote ni wa hapa hapa ligi kuu ya NBCPL,
Mnataka wacheze soka safi la kufunguka bila mipango ili iweje?
Hivi mnajua...
Niliwacha kuishangilia stars tangu siku ya mechi ya stars dhidi ya bukina faso walipoitungua 2-1 nafikiri 2007 kama sikosei niliipuza baada ya kuingia siasa za maricio maximo na baadhi ya...
Taifa Stars leo inashuka dimbani kutupa karata yake ya pili leo jumanne saa moja jioni kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2025 dhidi ya Guinea baada ya kutoka sare na Ethiopia nyumbani...
Wakuu mmesikia huko?
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema ushindi wa Taifa Stars wa bao 2-0 dhidi ya Ethiopia ni maalum kwa Rais Dkt. Samia
Tulipoandika tulitukanwa sanaaaa wengine wakaenda mbali mpaka kuwatukana wazazi wetu kisa habari za Moalin
Wengine wakatukataza kuandika habari za Yanga et tunaipa kashfa...🤣
Kiko waaaapi...
Hili kuna haja ya Wapenda soka wa Tanzania walielewe.
Bali haifahamiki pia kwanini Nchi hizo hazibandiki Mabango ya Rais wao Uwanjani, Japo Sheria za FIFA hazikatazi.
Je hawa ambao hawabandiki...
Tukiwa tunaelekea kwenye mchezo wa mwisho na Guinea 🇬🇳 na ndio utakao toa maamuzi tutakwenda Morocco AFCON au laa nimesikitishwa na jambo moja.
Tamaa zenu za kisiasa hakika leo zinaweza...
Timu ya Taifa ya Tanzania(Taifa Stars) leo majira ya saa 12:00 jioni katika Uwanja wa Taifa uliopo jijini Dar inacheza na timu ya Taifa ya Uganda(The Cranes) katika mchezo wa kufuzu kucheza...
Picha: Rais Samia Suluhu Hassan
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa wamenunua jumla ya tiketi 4,000 za mechi ya kufuzu AFCON 2023 kati ya Tanzania na...
Hivi wasiwasi unatoka wapi,
Huyo Guinea Alikaa mchezo wa kwanza akiwa kwao..
Mpira ndugu zangu umebadirika pakubwa..
Mlitegemea Comoro angeweza kufuzu kwa kuongoza kundi mbele ya Giant Tunisia...
NCHI tano zinatarajia kushiriki Uhuru Open Squash Tournament yanayotarajia kuanza Desemba 6-9, 2024 Jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Chama cha Squash Tanzania (TSA), Marwa...
WAGOMBEA 20 wa nafasi za uongozi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), uchaguzi unaotarajia kufanyika Desemba 14, 2024 Jijini Dodoma.
Kwa mujibu wa Kamati ya Uchaguzi wa TOC, Ibrahim Mkwawa...
Yaani mambo ya nyuma mwiko ndo kama lile tukio la Madaktari wa Muhimbili, Mgonjwa wa kichwa wakampasua mguu na wa mguu wakampasua kichwa.
Timu imejaa wastaafu telee , badala waimarishe kikosi...
Kuna jamaa mmoja alikuta timu ipo dakika ya 67 na inaongoza goli tatu kwahiyo akaipa ishinde na akatia ada yake pale.
Mchezo uliisha 3 - 3!
Kuna maumivu makubwa sana kwenye kubeti, wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.