Jose Mourinho anasema nilipokuwa kocha wa Inter Milan alikuja mbele yangu mchezaji Zlatan Ibrahimovic akasema nataka kuondoka klabuni hapa ili nikashinde ubingwa wa UEFA.
"Wasaidizi wangu...
Hawa wakuu wa wilaya na mkoa kufanya ushabiki wa hizi timu kubwa uliopitiliza kiasi cha kuwachukulia timu asiyoipenda kama chama pinzani cha siasa kutahatarisha amani ya nchi hii.
Kuna mstari...
Mpira ni biashara
Timu letu Bado ni bovu
Stars umeenda Afcon mara mbili mfululizo ila haijawahi kushinda wala kutoa sare
Timu letu kila likienda linapigwa na kututia aibu. Me Mtanganyika ila...
MEJA Mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambaye pia alikua mwanariadha aliyeng'ara katika medani ya mchezo wa riadha Olympic mwaka 1974 Filbert Bayi pichani juu amesema kuwa Shule yake...
Vijana Dicksoni Job, Ibrahim Bacca, Mudathir Yahya na Clement Mzize walipiga kazi ya uhakika wakiwa na pumzi Ile Ile mwanzo mwisho mpaka nikajiuliza Hawa wamechomwa sindano za kuongeza nguvu...
Simba iliwahi kuambiwa inapuliza dawa kwenye vyumba vya wapinzani,ikapuuzia kashfa ikafa kimya kimya
Sasa kuna kashfa moja huko mitandaoni kuwa wachezaji wa Yanga wanatumia dawa za kuongeza...
Leo kama goli lingerudi angemezwa timu ameirudisha nyuma mapema sana dk 25 ni nyingi kwa timu zenye wabunifu huu mtindo wa mwalimu kujilinda kwa kutia mabeki wengi anakosea sana ni vyema timu...
Mechi ya jana kati ya Tanzania na Guinea ilikuwa na magolikipa wa simba wote malangoni na kuweka historia duniani.
Simba inakua klabu ya kwanza Tanzania makipa wake kukutana kwenye mechi moja...
Leo saa 6 mchana timu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara Yanga SC itazindua jezi zake leo 20/11/2024 karibu katoka Uzi huu kupata update za champions league kits
Young Africans SC
𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋...
Simba SC imezindua jezi mpya maalum kwa ajili ya michuano ya Shirikisho Afrika, uzinduzi uliofanyika Sandaland Tower, Kinondoni, Dar es Salaam. Jezi hizo zitaanza kutumika katika mechi dhidi ya FC...
record babkubwa zaidi.
1) Aucho mchezaji wa Yanga alikuwa timu yao ya taifa na wamefuzu.
2) Diarra yupo Yanga kashiriki kufuzu AFCON na Mali imefuzu.
3) Dube yupo Yanga na kashiriki kufuzu...
Inashangaza sana. Ni vile tu Msuva hana watu wa kumpigia debe na ni kweli hakuwahi cheza Europe. Lakini kwa mchango kwa Team ya Taifa.
Msuva ana mchango sana. Nlimtega mtu mmoja alinganishe...
Wakongwe Tyson na Evander wakiwa sasa ni marafiki.
Mike Tyson na Evander Holyfield wana historia ndefu na zitakazodumu kwa karne nyingi sana kwenye historia ya mchezo wa ndondi, na kama Evander...
Wakuu
Jana Rais Samia kutoa milioni 700 kwa Taifa Stars baada ya kufuzu AFCON 2025 kama pongezi kwa kuliheshimisha taifa kufuzi mara ya nne katika fainali hizo. Je, zawadi hii inawahusu wachezaji...
Kwakuwa tayari mmeshakubali Kutumika nae kama Mtaji wake wa Siasa na kumhakikishia Ushindi na ameshawawekeni Mtegoni mwake na mmejaa vizuri kwa mwaka huu 2024 na 2025 atawamwagieni sana Fedha zake...
Wanamichezo nina hoja Kwa jicho la kiufundi.
Ningekuwa nina access ya kukaa na kuongea na kocha wa national team leo ningependekeza AANZE kiungo ALDOLF MUTASINGWA sababu iyo nafasi huwa anaicheza...
Mwanariadha wa Jeshi la Polisi, Konstebo Transfora Mussa ameibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa Wanawake kupitia mbio za kilometa 10 katika mbio za Fulham 10k zilizofanyika Nchini Uingereza...
Kwa utashi wangu wa kusoma uhalisia, na Hali halisi ya Klabu ya Simba SC. Hasa falsafa za Kocha Fadlu, Basi sioni namba watakayo tumia Simba kuwatoa Al Ahly Tripoli na kutinga makundi.
Sioni...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amehitimisha kwa kishindo Ligi ya mpira wa miguu Kasekenya Cup’ iliyoandaliwa na Mbunge wa Ileje, Eng. Godfrey Kasekenya ambapo timu ya Iyuli kutoka Mlal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.