Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

habari za kufungwa kwa simba leo na timu ya jomo cosmos 2 0 huko bondeni kwa madiba naona wanaelekea pazuri
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ofisi ya mkuu wa mkoa Mwanza imesikitishwa na taarifa zilizoenezwa na baadhi ya watu kuwa mkuu wa mkoa Mhe Said Mtanda amevamia mazoezi ya Simba akiwa na polisi na kuwashikili meneja wa timu na...
-1 Reactions
30 Replies
2K Views
Naona huyu jamaa tangu amepata ballon d or uchwara analopoka lopoka tu.
4 Reactions
19 Replies
728 Views
Soma pia: Vurugu kali zimezuka Uwanja wa CCM Kirumba wakati Simba SC ikifanya mazoezi kuelekea mechi na Pamba Jiji hapo kesho' ======== Uongozi wa klabu ya Simba umesikitishwa na vitendo visivyo...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Naona inasemwa semwa kwenye mitandao kwamba mkuu wa mkoa wa Mwanza Said Mtanda aliyeleta tafrani katika maandalizi ya Simba ni mlezi wa timu ya Pamba na mshabiki wa Yanga ambazo zote ziko ligi kuu...
1 Reactions
8 Replies
348 Views
Hii mechi ya simba na pamba imechukua sura mpya ya kelele nyingi mno,haijulikani ukweli ni upi.. Naomba amani na mpira uchezwe tu
0 Reactions
8 Replies
592 Views
GUINEA WANTS TANZANIA OUT OF #AFCON2025 Guinea has asked African football governing body, CAF to nullify Tanzania's #AFCON2025 qualification due irregularities cited in a report submitted by the...
3 Reactions
6 Replies
730 Views
Yupo mwandishi uchwara wa habari za michezo raia wa Ghana aitwaye Micky Jnr ambaye kwa ujinga wake ameamua kuwa upande wa wasio itakia mema timu yetu ya Taifa na kueneza habari za kuhanikiza...
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Ahmed Ally “Tunawaomba Pamba Jiji Fc katika mchezo wa kesho wacheze mpira kwenye uwezo wao, wasicheze mpira wa hovyo wenye lengo la kutuumizia wachezaji wetu, Bado hatujasahau kesi ya Moses...
0 Reactions
6 Replies
442 Views
Timu yetu imeshinda kwa bahati na juhudi binafsi za wachezaji wetu,hao makocha wetu wote,hawana ujuzi wala sifa za kuifundisha timu ya taifa. Ushindi wa jana hakuna ufundi wowote uliooneshwa na...
10 Reactions
74 Replies
2K Views
Najua Watanzania ni watu wa matukio Hapa tumefuzu Kwa mbinde na coach Morocco anaonekana shujaa, ila ana mbinu duni akikutana na timu ngumu atapigwa kama ngoma Tumefuzu lakini Kwa kubahatisha tu...
12 Reactions
39 Replies
1K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeeleza kusikitishwa na taarifa zinazozagaa mitandaoni kuhusu uhalali wa mchezaji Muhamed Ame kuchezea Timu ya Taifa (Taifa Stars). TFF imefafanua...
0 Reactions
9 Replies
965 Views
Hakuna ubishi kuwa baadhi ya viongozi wa Pamba ni wanachama wa Yanga na walitangaza dhahiri kwenye mitandao ya kijamii wakati walipocheza na Yanga na kutafunwa mabao 3 0 kuwa baadhi yao wanajiweka...
2 Reactions
12 Replies
893 Views
Sijazoea Unafiki na najua kwa huu Ukweli wangu nitachukiwa mno na wasiopenda Ukweli na Wadau wa Unafiki. Yanga SC wametuzidi Simba SC kwa Jezi nzuri katika Michuano ya Kimataifa inayoenda kuanza...
19 Reactions
64 Replies
2K Views
"i dont want to speak, if i speak am in big trouble" Jose Mourinho
3 Reactions
23 Replies
459 Views
Kwa waliofanikiwa kubashiriwa na chatgpt njoeni mtoe ushuhuda wenu, mimi nimejaribu mara kadhaa nikazidi kupotezwa
7 Reactions
87 Replies
2K Views
Ni uonezi wa wazi kwa Simba Ila mwanaume atashinda
2 Reactions
9 Replies
448 Views
Cheki hapa, huyu dogo hii hook ingemuweka chini moja kwa moja na ikawa KO ila mike akaipotezea, chek hii clip hapa chini Laiti hio hook mike angeituma kichwan kwa huyo dogo wangemtoa dogo hapo...
5 Reactions
14 Replies
748 Views
Klabu ya Yanga Sc kupitia kwa Meneja wake wa Habari na Mawasiliano Ally Kamwe, imethibitisha kuwa jezi mpya za klabu hiyo kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika zitazinduliwa Tarehe 20, Novemba 2024...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Hapo vip! Sina mengi naomba kicopy na kupaste. Admin naomba usibadilishe chochote ili tujadili ukweli ya hii kauli.
4 Reactions
15 Replies
729 Views
Back
Top Bottom