Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Jezi za yanga hizi zilizotoka juzi hazina uhalisia kabisa, colour palette ya timu ya yanga ni kijani na njano. But hizi jezi mpya sijaelewa kwann wameamua kutumia rangi ambazo sio za yanga...
1 Reactions
9 Replies
582 Views
Wakuu, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam imeandaa bonanza maalum lijulikanalo kama Dar es Salaam Standup Bonanza kwa lengo la kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi wa...
0 Reactions
2 Replies
174 Views
Rais wetu amekuwa akimwaga mapesa kwenye mipira, ati anaweka hamasa. Lakini kimsingi hakuna hamasa yoyote anayoweka zaidi ya hizo timu kufanya siasa na unafiki Yaani Aziz ki anavuta million 40+...
1 Reactions
4 Replies
291 Views
PIA SOMA - Simba yalaani matumizi ya Polisi kuwazuia kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba kuelekea mchezo wa dhidi ya Pamba
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Naona mashabiki oya oya mtakuja kwa spidi ya SGR kunishambulia na mapanga wengine manati. Sikilizeni niwaambieni, huo ndio ukweli, mkubali ama mkatae, yanga sio timu ya wachezaji wa ndani ama...
5 Reactions
35 Replies
1K Views
Ukitaka ujue kuwa hawa ngada aka makolo ni zero brain (NGUMBARU) angalia kauli zao. Toka yule msemaji 'mweupe wa ngozi' awaaminishe kuwa Yanga kuna wenye IQ kubwa wawili nao wameshikilia hapohapo...
1 Reactions
21 Replies
768 Views
Ni utovu wa nidhamu kugoma kufanyiwa sub,wengine wanasema kocha alidhani amepata injury,lakini utaona kocha akikasirika na kuongea kwa Mzize kugoma kutoka. Hamna mchezaji mkubwa zaidi ya timu...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ametoa pongezi kubwa kwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia pamoja na timu ya Taifa Stars kwa mafanikio makubwa ya...
2 Reactions
10 Replies
808 Views
Habari za muda huu wapendwa Mimi kama shabikia wa azam na mpenzi wa Mpira hivi kama nchi tutakuja kupata football baller kama FEITOTO kweli? Anyway huku comment chuki utaonekana ni mwana yanga...
3 Reactions
40 Replies
1K Views
Klabu ya Yanga imezindua jezi mpya rasmi za nyumbani, ugenini na jezi ya tatu kwa ajili ya kampeni ya Kombe la Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2024/25. Jezi hizi mpya zitakuwa...
19 Reactions
89 Replies
4K Views
Yanga hamutaiweza nyie mikia. Yanga inawekeza pia kwa Media sana tu toka enzi za Mwanaspoti, Dimba, Magazeti kama Mwananchi n.k tuna fungu la kutosha tu. Ukija kwa vyombo vya habari kama Radios...
0 Reactions
13 Replies
703 Views
Akipandisha timu daraja huwa anafukuzwa, Akipewa timu ligi kuu haichukui muda inashuka daraja. Asipofukuzwa Pamba basi ataishusha daraja historia ya Toto African inajirudia
4 Reactions
31 Replies
694 Views
Kikosi cha wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi mbili za kufuzu kushiriki michuano ya mataifa Afrika (AFCON 2025). Ally Salim(Simba SC)...
8 Reactions
47 Replies
2K Views
Mwenye macho haambiwi tazama. Tanzania mama ameinyanyua kimpira au kisoka. Tanzania inaogopeka sasa. Tumecheza na guinea nchi ambayo inq wachezqji mpaka wa Dortmund lakini tumewatandika. Hii yote...
2 Reactions
5 Replies
374 Views
Kwamba wakiwa kwenye mchakato hiyo logo wanadownload mtandaoni tu, ama protocal zinakuwaje?
0 Reactions
3 Replies
255 Views
SIONI NAMNA PAMBA ANAWEZA KUTOA HATA DRAW. SIONI KABISA. Yaani hawa jamaa leo lazima Aziz Ki atupie, Chama atupie, Zengeli atupie. Pamba siku zote ni wetu. Ni wetu na tena ni wetu. Yaani hawana...
2 Reactions
32 Replies
960 Views
Hizi timu mambo yake na washabiki wake ni kama imani ya dini. Hata uwaambie nini, mashabiki wa timu hizi wamelewa, na wamejaa ushabiki, na hawataki uwaulize kwa kwa nini wanazipenda timu hizo...
1 Reactions
4 Replies
293 Views
Licha ya kuwa na mechi muhimu, hakuna mdau yeyote wa mikia aliyechangamkia kuanzisha thread kama ilivyo ada. Hali hii imechangiwa na sababu mbili kubwa: Mosi, mwenendo mbovu wa mikia hao. Pili...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Viongozi wa Simba mmeonesha ni jinsi Gani mlivyo watu wa matukio na madeko Hamjui kuwa mkuu wa mkoa ndo Rais wa mkoa katika mkoa wake Utamzuiaje mkuu wa mkoa kuingia uwanjani ulio ndani ya mkoa...
6 Reactions
66 Replies
2K Views
Vurugu zimetokea wakati Simba SC ikifanya mazoezi yake ya mwisho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza Kuelekea Mchezo wa Kesho wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Pamba Fc dhidi ya Simba SC. Wakati...
4 Reactions
55 Replies
4K Views
Back
Top Bottom