Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally,amesisitiza msimamo wa klabu kuwa RC Mwanza alitumia mamlaka yake vibaya kuifanyia Simba mambo ya kihuni.
Amebainisha kuwa Simba imeshatoa taarifa kwa mamlaka za...
“Ahmed Ally amenikosea sana, anatumia umaarufu wake kunichafua, Mimi siyo kiongozi Wa kwanza kushabikia Yanga”
Mh Said Mtanda, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kupitia kipindi cha michezo cha Crown Sports...
Habari wadau
Naona Yanga wametoa jezi mpya kwa kwa ajili ya total caf champions league..
Wamefuta nyota zao walizoweka juu ya logo yao kwenye jezi zao za msimu huu walizochezea hatua za awali za...
How each Premier League club has been affected by injuries so far as Man City and Arsenal bemoan availability problems... with FIVE sides worse off than the title rivals.
Pep Guardiola and Mikel...
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amemjia juu Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta akimwambia ametangaza vita dhidi ya pande hizo mbili, ikiwa ni mwendeleo wa kurushiana maneno baina ya pande hizo...
tanzania ina watu wa ajabu sana . Yani ana matatizo kibao anawaza uchawi . List ya matatizo bodi ya ligi
1. Viwanja
2. Majukwaa
3. Wafadhili
4. 4k or hd coverage
5. App
6. Media coverage ya...
Nimesikia mwenyekiti wa bodi ya ligi akigusia uandwaaji wa kanuni kali.
Naunga mkono kanuni ziwe kali zaidi hususan inayopiga vita ushirikina katika soka. Hatutaki kuona mazingaombwe uwanjani...
Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa Pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!
Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa...
Ni uhuni hawa mikia. Wanaonesha ishara ya kuwa sisi Yanga tunajidunga kwenye mshipa. Hili jambo walizusha Azam naona mikia wamelibeba.
Yaani walikosa pose nyingine mpaka kutuoneshea sisi huu...
Hapo vip!
Unajua kujitoa ufahamu kwa kiongozi au uongozi yeyote kwa kuichukia Simba na kufanya vitendo vya chuki na vyakibaguzi ni kuichonganisha na kupanda mbegu za chuki baina ya uongozi wa...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda alipokuwa anaongelea maandalizi ya Pamba Jiji kuelekea mechi ya kuikabili Simba SC, kesho Novemba 22, akiwahakikishia wasikilizaji kuwa katika game hiyo ushindi...
Mkuu wa Mkoa kuhusika hujuma kwa Watani wetu ni kuonesha woga sana na kukosa Ilimu au Weledi. Huyu Mkuu wa Mkoa si ndo alikuwa na kashfa za kutaka funika kesi ya Ulawiti? Sasa anataka kutuharibia...
Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba huko jijini...
I salute you kinsmen.
Huyu jamaa kwa sasa amezidi kututibua nyongo watanzania kwa kiasi kikubwa sana
Inasemekana kuwa Tanzania wanaweza kupokonywa nafasi yao kushiriki Afcon na akapewa Guinea...
Ikijitahidi sana ni draw. Sioni ikishinda magoli. Labda itashinda njaa tu. Pamba leo wanashinda. Kwa makafara waliyoyatoa? Mikia kipigo kipo. Tena kipo kweli kweli.
Simba ikishinda nipigwe BAN YA...
Karibu mechi zote za Simba walizocheza mikoani wamepata matokeo kwa tabu sana na kumetokea sintofahamu za dhulma au makosa ya marefa yaliyowanufaisha.
Kama ilivyo kwa Yanga ya msimu huu, hata...
Najaribu kufikiria sana kwanini RC uliamua kufanya haya uliyoyafanya, wewe ni wa kwenda uwanjani kweli na masilaha ya moto? Wewe kazi yako c kuagiza tu kwa RPC ss iweje ubebe magari ya umma na...
Kufuatia sakata lililotokea Mwanza, na Uongozi wa klabu ya Simba kutoa taarifa ya kulaani vikali vitendo visivyo vya kiungwana vilivyodaiwa kufanywa na viongozi wa timu ya Pamba Jiji FC kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.