Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ndugu wana michezo wenzangu, kuna kivumbi cha kukata na shoka kuwania nafasi ya pili nbc premier league, baina ya vilabu vitatu vidogo nchini. Embu cheki msimamo hapo chini kisha tupia comment...
3 Reactions
15 Replies
664 Views
Kijana kazi imemshinda, nimeona mashabiki wa Yanga wanalaumiana kwenye mitandao kuwa hawaendi uwanjani, wanashindwa na ma Shabiki wa Simba, mmoja wa mashabiki hao anaitwa God Yanga, amelalamika...
2 Reactions
4 Replies
493 Views
Nadhani injinia atazingatia. Hili ni deni nyeti sana linagusa maslahi ya klabu
1 Reactions
8 Replies
627 Views
Kwanza watu dhaifu ndiyo hudhani udhaifu ni uanauke. Inachukiza mtu anaposema mashindano ya shirikisho Afrika hushiriki timu za "wamama" akiashiria ni mashindano ya ngazi ya chini kuliko mengine...
4 Reactions
26 Replies
696 Views
HALIMA VUNJABE Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Halima Ramadhan Vunjabei ameshinda pambano lake kwa Knock Out ya raundi ya tatu dhidi ya bondia Songul Ayten lililiofanyika usiku wa novemba 23...
1 Reactions
10 Replies
515 Views
Ukienda kwenye mtandao wa X zamani Twitter, tafuta jina la CEO kisha search neno Yanga utapata tweets zote alizopost kuhusu Yanga. Je, Simba imeajiri mtu mwenye vinasaba na Yanga pasipo kujua...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Huyu mchezaji Ana mchango mkubwa sana ktk kkabu yetu, Leo amehusika kwenye Ile penati, mechi zote anazocheza Awesu wanasimba tunafurahi sana, wengine nikiwemo Mimi tunaumia sana akitolewa wakat...
3 Reactions
43 Replies
1K Views
Wakuu, Waziri Michezo Dkt. Damas Ndumbaro ametoa wito kwa Watanzania kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 kwani uchaguzi huo ni muhimu kwa kuwa unawezesha kupatikana viongozi wa ngazi...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Taarifa ya Klabu hiyo iliyonukuliwa na BBC SPORTS imesema kwamba, Imeamua kuachana na kocha huyo kwa sababu ya Matokeo Mabovu
0 Reactions
0 Replies
143 Views
Imekuwa ni kawaida Kwa baadhi ya watu kukosoa kila panapotokea watu wa mpira kujadili mambo ya timu zao pendwa haswa Simba na Yanga, Kwa maelezo kuwa hawana la kufanya, ebu njooni taratibu...
7 Reactions
33 Replies
711 Views
Simba ijitathmini tena kuhusu huyu CEO mpya,haiwezekani shabiki wa Yanga aje kuwa CEO wa Simba,hatutaki mamluki kama alivyokuwa Manara,mbinu za kivita zinazojadiliwa Simba yeye anapeleka upande wa...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
John Matambalya aliajiriwa na azam kuwa fundi ujenzi kujenga ule uwanja wao,ulipoisha akaajiriwa hapohapo,kuwa msimamizi wa uwanja na akaanza kusomea ukocha na akahitimu,akaanza kuwa kocha cha...
2 Reactions
5 Replies
381 Views
Nimejiuliza sana sijapata jibu. Kama ni kwaajili ya mechi za Caf mbona wote wanacheza wiki hiyohiyo?? Anyway, inawezekana ni Yanga iliyoomba , na Simba ikaona yenyewe icheze tu. Na katika...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Mwakinyo na Alikiba ni watu wa maana sana kiufup mimi kama Mimi nawapongeza sana wanajitoa sana kwenye matukio kuna wale wavaa Heren na wanabana pua wakat wa kuongea wanaogopa vumbi. jamaa...
1 Reactions
3 Replies
222 Views
Hongera Halima VunjaBei Kwa Kupata Ushindi Wa K.O Dhidi Ya Mpinzani Wako Nchini Ujerumani, Umeipeperusha Vyema Bendera Ya Tanzania.
3 Reactions
10 Replies
578 Views
Msimamo Wa Ligi Kuu Baada Ya Mchezo Wa Leo Jitambulishe Kwa Emoji Moja Hapa Ya Nafasi Ya Timu Unayoishabikia ⤵️
3 Reactions
11 Replies
771 Views
Tanzania ni nchi huru kidini na kiimani, kila mtu yuko huru kufanya mambo ya kiimani anayoona yanamfaa, Sasa kwa nini kwenye mpira wachezaji wakifanya matendo ya ibada ya dini mbili za Ukristo...
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Wakuu, Mwandishi wa habari za michezo wa Ghana, Micky Jr ameripoti kuwa, Tanzania inaweza kuondolewa kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 nchini Morocco licha ya kufuzu...
2 Reactions
86 Replies
6K Views
Manchester United wamemchagua kocha wa Sporting Ruben Amorim kuwa meneja wao mpya. Mreno huyo mwenye umri wa miaka 39, ambaye atahamia OldTrafford kutoka klabu ya Lisbon mnamo Novemba 11, ametia...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Ikiwa ni mchezo wa pili toka ligi ya England ianze Manchester United imepoteza mchezo wake baada ya kukubali kipigo cha mabao 2 kwa 1 kutoka kwa Brighton & Holves Albion huku mabao ya Brighton...
0 Reactions
5 Replies
333 Views
Back
Top Bottom