Kwa vyovyote vile kesho yanga watataka simba afungwe ili tuwe sawa, naomba uwanja ukasafishwe na takataka zote zikatolewe uwanjani ili kesho Ateba Mbida ateleze tu
Wanasimba kesho mapema tu uwanjani
Sipo hapa kulalamika na wala sio kawaida yangu kuandika uzi wa kulalamika, binafsi matokeo ya leo hayawezi nifanya kukata tamaa kwani naijua football vizuri, bado timu ina nafasi ya kufanya vizuri...
Tupo uwanjani leo shabiki kindakindaki wa Al hilal toka nizaliwe mm al hilal damu🔥🔥🔥
Forza Al HILAL
Hat trick habib thalantha bin thiful
نيتيوويوؤويتيتيتيتmwamnyeto🐸🐸🐸
Tanzania tunaiogopa SIMBA...
Acheni hayo maneno. Si sawa hawa wageni wapo wanaojua kiswahili. so wanaelewa haya maneno wanapoyasikia inakuwa inatupa nafasi ngumu sana kwetu kuwa bila
1. Kujidunga
2. Uchawi
Haya si maneno...
Mimi sina mengi. Baada ya kuwa tumekosa kumtumia yule mganga sasa hali yetu imekuwa mbaya. Hata ile namna nyingine ambayo tuliamua kuwa ingetusaidia katika kupata ushindi matches hizi inakuwa...
Wanasema huyo Andy Bikoko ndiyo sababu kuu ya kuwafukuzisha wazungu wawili yanga na singida black stars klabu mbili ndugu wa damu.
Eti ni jamaa moja katili sana liliwatia mfukoni Pacome, Azizi...
Wachambuzi timu lenu limefungwa huko ila najua hamkosi cha kusema. Mmewadanganya sana wenzenu kwa tabiri na sifa nyingi za kijinga mkasahau kuwa hii ni soka.
Mliipa nafasi kubwa ili kuzifanya...
Impact ya Chama jangwani sio kwenye mechi tu. Bali kwenye uwanja wa mazoezi.
Sio Aziz ki, Pacome na Max wote walisema walitamani Sana kucheza na Chama. Sisi huku vilaza oh kazeeka. Oh ela kubwa...
Ulimi uliuponza mdogo. Ali Kamwe ulisema mechi ni leo, kesho ni siku ya kupiga kura. Sawa basi kesho tuwahi asubuhi. Ila usisahau kugeuka nyuma maana Ibenge hajawaacha yuko sako kwa bako.
Kwa...
Kwanza wanaongea Sana, midomo mingi, captain WA timu anasema tutapawapiga tano Yani anaongea kama anaharisha, Bora wamefungwa Kodi zetu watanganyika zimepona, maana wangeshinda wangemwagiwa hela...
Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limeibuka mshindi wa kwanza wa jumla katika mchezo wa riadha kwa wanaume kwenye mashindano ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi, na...
CAF wametangaza washindi wa Bid za kuonesha Mechi za Champions League na Kombe la Shirikisho kwa msimu huu. Azam Tv ni Moja ya washindi lakini katika kipengele Cha FTA (Free to Air) Maana yake...
Mara zote mechi zinazochezwa mida ya saa kumi, watazamaji wa TV kupitia kisimbuzi chenu hukutana na muonekano wa giza katika nusu ya uwanja, jambo linalosababishwa na jua. Cameraman na uongozi wa...
Kuelekea katika mechi za kimataifa katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Kocha Mkuu wa Yanga Sc, Sead Ramovic, amezungumza na waandishi wa Habari, akisema!
"Hii ni mara...
Huyu jamaa Salim Abdallah, (sipendi na sijawahi kumuita jina lake la utani) sijawahi kumuelewa toka nimeanza kufuatilia nyendo zake pale Simba.
Juzi baada ya sakata la kule Mwanza, inasemekana...
Kupitia Wasafi Fm, wanaripoti kuwa wapinzani wa Simba katika mchezo wa kesho Bravo bado hawajafika nchini.
Kitaalam walipaswa wafike jana mapema na kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa ili...
Bado uwanja Mtupu au mpaka hadi tusemwe ndio tununue tiketi,tulichozoea ni kunywa supu ila Azam na Tabora wamekatia ham ya supu. 😭😭 Tukutane kesho uwanjani mashabiki wa Yanga Sc 💚
Kama kuna wakati wa kuwaogopa hawa wachambuzi ni wakati kama huu.
Kila mchambuzi ukimsikia anasema hii timu ndiyo kibonde na kwa hiyo Simba inatakiwa kujipigia goli nyingi.
Kuna mashabiki...
NDOTO za Yanga kufanya vizuri kwenye Kombe la Shirikisho la CAF zinaelekea ukingoni baada ya jana Jumanne, Julai 26 kupokea kipigo cha mabao 3-1 ugenini kwa Medeama jijini Accra, Ghana.
Hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.