Kama nilivyoandika hapo.
Leo tujiandae kuona kocha mpya akiaibika. Yanga kama hamtaki aibu fanyeni kumkodi kocha wa Azam FC na team yake awasaidie otherwise Ibenge na Al Hilal yake atawauwa...
Ubaya Ubwela kama unamgeukia Mnyama huko Lupaso
Mechi haijaanza ila Wachezaji wa BRAVOS wakawa wanalazimisha kwenda kutingisha nyavu za lango la Simba, imebidi Stewards waingie pia kuwatoa maana...
Unakumbuka Ile mechi SIMBA anakufa 3-1 na RAJA Taifa, Ile anaroga kwa kupeleka basi kinyumenyume ilikuwa ni mechi ya kwanza group stage klabu bingwa licha ya kufa tati nyumbani Bado Simba alienda...
Yanga inashuka dimbani leo ligi ya mabingwa na Al Hilal ya Sudani ikiwa ni majeruhi ya sumu ya nyuki wa Tabora baada ya kupigwa kipigo kibaya kabisa cha bao 3 kwa moja.
Kipigo hicho...
Kila kitu kimekuwa kibaya gafla mitaa ya jagwani na watu wengi wakiangaika kutafuta mbuzi wa kafara, mara kocha kawai kufutwa kazi mara simba wanacheza mechi zetu mara wachezaji awajitumi...
Nawashauri yanga mrudi mkaombe msamaha kwa mzee wenu ambaye mlimdhalilisha sana wakati akidai haki yake.
Wengi hamkujua madhara yake lakini sasa hii mnayoiona ndiyo kurujuan
Ubaya ubwela
Mchezo ulikuwa mzuri
Mchezo umetuachia somo
Huko mbele tunapoenda tucheze vipi
Majeruhi ya Aucho, Mzizie na Boka yametugharimu sana
Coach ni mzuri nadhani hajaijua timu vizuri anahitaji muda...
Mpaka sasanikitizama video za marudio ya mechi ya Yanga vs Al hilal nikiangalia jinsi ambavyo prince Dube alikuwa anaanguka peke yake bila kuguswa 😆 tena yupo kwenye position ya kufunga anaanguka...
Wakati zikisalia saa chache kabla ya Yanga kushuka Uwanja wa Benjamin Mkapa kupambana na Al Hilal ya Sudan, kocha wa Waarabu hao Florent Ibenge amemvuta mjini kocha mmoja aliyewatibulia wenyeji...
Niliwahi kuonya habari ya madalali kwenye soka letu, nikaonya tabia ya kupenda vitu vya bei nafuu hatimaye naona Yanga wameingia kwenye mtego, wameenda kuchukua kocha wa bei nafuu, kocha wa...
Niliandika ile siku ya game ya Simba SC na Utopolo, Nilisema inawezekana Yanga ime drop au inawezekana Simba ime imemprove; Pia nilisema mwaka huu Yanga hatoboi hata group stage .
Mean while ...
Nimekuwa nikiona mbumbumbu wengi na baadhi ya washirika wao wakipeana moyo na kuwaponda yanga kwamba kutokana na kufungwa mechi 2 basi Yanga wamepoteana na wataendelea kupoteza mechi nyingine...
Simba gave you a Mission and you' ve accomplished it with outstanding performance.
Hamisa you deserve to be awarded.
Jamani wenye mawasiliano na Aziz Ki naomba mtumieni hii ili ajue Tz kuna...
Ali kamwe alisema wameaminishwa kuwa Dube alikuwa hafungi kwa kuwa alikuwa amefungwa kwa nguvu za giza na timu fulani ila mganga mpya waliyempata amewahakikishia leo(jana) rasmi ataanza kufunga na...
Hapo vip!!
Za ndanii yanga kwa kumtumia Engineer na nafasi yake aliyokuwa nayo huko CAF nasikia anaenda kuhonga na kuomba wapangiwe timu mbovu na dhaifu.
1. Vital O wale ni wakimbizi hata uwanja...
Kura yako ni muhimi kuliko kelele zako uwanjani.
Kura yako ni muhimu kukiko 3000 yako ya kiingilio
Kurayako ni muhimu hata tukifungwa bado kuna mechi tano
Kapige kura,mpira utaangaliabaada ya...
Yule mdaka mishale kipa mahiri kabisa barani Africa,Djigui Diara amemwandikia wakala wake akitaka kumtafutia timu haraka dirisha hili dogo.
Lakini wanasheria wake pamoja na wakala waliguna maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.