Golikipa wa zamani wa timu za Majimaji ya Songea, Simba Sc na Yanga Sc, Doyi Moke raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amefariki Dunia baada ya kuchomwa moto na Wananchi wenye hasira kali...
Wakati watani wa jadi wa soka la Bongo, Simba na Yanga, wakitarajiwa kushuka dimbani katika dabi inayonadiwa kwa kaulimbiu ya HAINA KIPENGELE, kuna taarifa mbaya na ya huzuni kwa nyota wa zamani...
#TANZIA: Shabiki wa Klabu ya Simba, Mjata Mjata, amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu mkoani Tanga. Mjata alikuwa mmoja wa wadau wa soka waliokuwa na mchango mkubwa katika kukuza mchezo wa...
Kwa wale wafuatiliaji wa Kipindi Cha Kipenga Extra na Kipenga kupitia EATV na EA Radio Leo kipindi kimekuja na habari mbaya.
Shabiki wa Klabu ya Simba, Mjata Mjata, amefariki Dunia wakati...
Aliyekua Mwenyekiti wa chama cha soka Wilaya ya Dodoma Mjini Mwalimu Joseph Sehaba Amefariki Dunia.
Mazishi Yatafanyika Kesho Katika Makaburi ya Chang'ombe Saa 10 Jioni.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero aliyefariki dunia jana kwa ajali ya barabarani anatarajiwa kuzikwa saa 10:00 jioni ya leo huko Mbagala Kingugi, jijini Dar es...
AFARIKI KISA SIMBASC .
[emoji419] Mwenyekiti wa tawi Kiwalani Jijini Dar es salaam Amefariki Dunia Jana kwa presha Baada ya Simba kufungwa Na Yanga Dakika Za Jioni .
Bwana alitoa Bwana Ametwaa...
Mshambuliaji wa zamani wa Scotland, Manchester United, na Manchester City, Denis Law, ambaye ndiye mchezaji pekee wa Scotland kuwahi kushinda tuzo ya Ballon d'Or, amefariki dunia akiwa na umri wa...
Bondia Hassan Mgaya amefariki dunia, siku moja baada ya kupigwa TKO katika pambano la raundi sita lililofanyika Tandale kwa Mtogole, Dar es Salaam katika ukumbi wa Dunia Ndogo, na kupoteza fahamu...
Wilhelm Gidabuday enzi za uhai wake
Wanaukumbi aliyekuwa Katibu Mkuu chama Cha riadha Tanzania(RT) Wilhelm Gidabuday amefariki dunia usiku wa kuamkia Leo tarehe 10/9/2024 Kwa kugongwa na gari...
Aliyekuwa meneja wa zamani wa timu ya taifa ya England, Sven-Göran Eriksson, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76. Eriksson alitangaza kuwa ana ugonjwa wa saratani usiotibika mnamo Januari...
Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Issa Hayatou wa Cameroon, amefariki dunia mjini Paris siku ya Alhamisi akiwa na umri wa miaka 77.
Kulingana na Afrik-foot, kifo cha Hayatou...
Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Zambia (Chipolopolo), Justin Shonga, amefariki dunia.
Msemaji Msaidizi wa Polisi wa Zambia, Dan Mwale, amethibitisha kutokea kwa kifo hili
Mwale alisema...
AMODU
Siku chache baada ya kifo cha Stephen Keshi aliyewahi kuwa kocha wa timu ya taifa ya Nigeria, kocha mwingine wa timu hiyo maarufu kama Super Eagles, Shaibu Amodu naye amefariki dunia, leo...
Mwanariadha Kelvin Kiptum aliyevunja rekodi ya mbio za Marathon duniani hivi karibuni mwaka jana 2023, afariki dunia kwa ajali ya gari.
R.I.P
World marathon record holder and London Marathon...
PICHA KUONESHA ALIYEKUWA BEKI WA KAIZER CHIEF
Beki wa Kaizer Chiefs Luke Fleurs amefariki dunia kwa kusikitisha baada ya kupigwa risasi wakati wa utekaji nyara.
Siwezi kuamini hili baada ya...
Yule beki kisiki wakushoto Ramadan Wasso amefariki dunia Leo nchini Burundi akiwa na miaka 39.....
Alikuwa sehemu ya kikosi Cha Simba sc kilichotinga makundi cafcl 2003.
---
Beki wa zamani...
Mchezaji huyo mkongwe amewahi kuisadia Timu ya Taifa ya England kwa kucheza Mechi 106 na kufunga Magoli 49, pia alicheza michezo 758 na kufunga Magoli 249 katika kipindi cha miaka 17 akiwa...
Bwana Alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.Ameen
---
Klabu ya Soka ya Azam, imetangaza kifo cha aliyekuwa daktari wa timu hiyo, Mwanandi Mwankemwa, kilichotokea leo jioni katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.