Aliyekuwa winga teleza wa klabu ya Simba, Yahya Akilimali, amekutwa na umauti usiku wa kuamkia leo Jumamosi ya Oktoba 30, 2021 katika Hospital ya Maweni, Kigoma.
Mazishi yatafanyika leo nyumbani...
Gwiji wa zamani wa Bayern Munich na timu ya Taifa ya Ujeruman bwana Gad Mullar amefariki dunia Jana akiwa na miaka 75.
Miongoni mwa kumbukumbu anazokumbukwa nazo ni
Kufunga goli 34 kwenye mechi...
Jean-Pierre Adams alikuwa mchezai PSG huko chini Ufaransa, baada kupata majeraha kulikuja kutokea bahati mbaya hospitalini kufanya oparesheni ambayo ilikuwa siyo na kupeleka kuwa kwenye coma miaka...
aliyewahi kuwa mwenyekiti wa FAT taifa Sasa tff bwana Said el MAAMRY amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
=====
MWENYEKITI WA ZAMANI WA TFF, ALHAJ SAID HAMAD EL MAAMRY AFARIKI DUNIA AKIWA ANA...
Kipa wa Simba, Beno Kakolanya leo Agosti 19, 2021 asubuhi amefiwa na mama yake mzazi anayeitwa Eva Mwankusye na msiba upo kwao Isyesye jijini Mbeya.
Taarifa za msiba huo zimethibitishwa na kaka...
Kocha mashuhuri nchini bwana Hassan Banyai amefariki dunia leo.
Enzi za uhai wake alikuwa ni miongoni mwa makocha waliopandisha timu nyingi daraja kama vile Mwadui na Njombe mji.
Pia amewahi...
Mwanachama mkongwe wa Klabu ya mpira wa miguu ya Yanga Mzee Ibrahim Akilimali amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Bagamoyo
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi...!!
Habari za kusikitisha kutoka zambia,mke wa mchezaji nguli wa simba sc amefariki dunia.
===
#ZSUpdates is saddened to learn the passing of Chipolopolo boys midfielder Clatous Chota Chama's wife...
Mchezaji wa Klabu ya Soka ya Hafla FC ya nchini Guinea Latige Camara amefariki dunia leo asubuhi baada ya kudondoka uwanjani akiwa mazoezini.
Taarifa za awali kutokea nchini humo zinataja chanzo...
Mchezaji huyo amewapoteza wapendwa wake hao usiku wa kuamkia leo
Ni huzuni kubwa
Ni majonzi
Taarifa zaidi kutolewa na Uongozi wa Yanga
Chanzo: Msemaji wa Klabu - Nugaz
--
Radio Free Africa kipindi cha michezo asubuhi hii wametangaza kifo cha ghafla cha Bondia Thomas Mashali. Thomas ni bondia aliyeleta changamoto kwenye gemu na kuifanya ichangamke.
Chanzo cha Kifo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.