Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Yanga SC, Imani Madega amefariki dunia leo nyumbani kwake Chalinze, Mkoa wa Pwani. Madega anatarajiwa kuzikwa kesho Chalinze nyumbani kwake. Kiongozi huyo atakumbukwa...
8 Reactions
62 Replies
5K Views
Taarifa kutoka SkySports imethibitisha ======= Terry Venables was the man at the helm for England's unforgettable run at Euro 96; Former QPR, Tottenham and Barcelona manager died aged 80; Gary...
0 Reactions
8 Replies
774 Views
Taarifa kutoka SkySports imedai kwamba Mchezaji huyo wa zamani wa Ujerumani Amefariki Dunia . Nachukua nafasi hii kuwapa pole Wafiwa wote popote walipo , Amina . --- Tributes have been paid to...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
[emoji3520]TANZIA[emoji3520] Ndg yetu Mustapha Nzogela, Mwanachama wa Yanga na mmoja wa waasisi wa mwanzo kabisa wa Tawi la Yanga Pamoja Mbezi, alifariki Kwa ajali ya Maji juzi ktk bonde la...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Mwamba hatunaye tena. Alikuwa na miaka 60. Masikitiko makubwa. Rais wa Argentina katangaza siku 3 za maombolezo. ----- Wasifu Wa Hayati Maradona ----- Mmoja wa wachezaji waliobarikiwa...
12 Reactions
155 Replies
17K Views
Kiungo wa kati wa zamani wa Barcelona na Inter Milan Luis Suarez, mwanasoka pekee wa kiume aliyezaliwa nchini Uhispania kushinda Ballon D'Or, alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 88 siku ya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Shabiki wa Yanga aitwae Jane mkazi wa Bwilingu wilayani Chalinze amefariki dunia wakati akitazama mchezo wa jana kati ya Simba na Yanga. Inadaiwa marehemu alifikwa na umauti wakati mpira ukiwa...
6 Reactions
63 Replies
5K Views
Chama cha mpira wa miguu wilaya ya songwe (Sorefa) kimetangaza kifo cha mchezaji wa timu ya Saza FC, Albat Andrea aliyefariki baada ya kugongana na mwenzake katika kuwania mpira. Tukio hilo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Hans Pope amefariki usiku huu katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya UVIKO-19 na...
18 Reactions
225 Replies
23K Views
Christian Atsu amepatikana ndani ya kifusi siku 12 baadaye baada ya tetemeko la ardhi kuikumba Uturuki na Syria. Taarifa ya kifo chake zimethibitishwa na wakala wake anayeitwa Nana Sechere Pia...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
Raia huyo wa Italia amefariki akiwa na umri wa miaka 58 alipokuwa amelazwa jijini London, England ikiwa ni wiki tatu tangu alipoacha kazi ya kufundisha Nchini Italia. Alikuwa akisumbuliwa na...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Nyota huyo wa zamani wa Santos FC, anayetambuliwa kama mmoja wa Wanasoka bora zaidi wakati wote, alilazwa hospitalini tangu Novemba 29, 2022 huko Sao Paulo Ripoti ya utabibu kabla ya Krismasi...
21 Reactions
240 Replies
13K Views
Klabu ya Simba SC imetangaza kuwa Daktari wa Timu hiyo ambaye kwa sasa alikuwa Daktari wa timu ya vijana, Yassin Gembe amefariki dunia mchana wa leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Bondia wa Afrika Kusini Simiso Buthelezi amefariki dunia kufuatia pambano lake na Siphesihle Mntungwa lililofanyika siku ya Jumapili. Pambano hilo la Buthelezi lilisimamishwa baada ya kuonekana...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Nimepata taarifa za kuhuzunisha juu ya kufariki kwa mshambuliaji hatari wa zamani wa Simba John Makelele Zig Zag pale Muhimbili juzi jioni.Kwa wale mliozaliwa miaka ya 2000, ni Makelele ndio...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanajamii wenzangu jana nimepata taarifa ya kusikitisha ya kifo cha Duncan Butinini aliyeugua kwa muda mrefu. Huyu alikua mwanasoka hodari miaka ya 90. Msiba upo Kimara kwao. RIP
1 Reactions
39 Replies
10K Views
Mino Raiola (54) ambaye ni Wakala wa Wachezaji wengi amefariki dunia baada ya kuugua kwa miezi kadhaa Raiola alilazwa katika hospitali ya Milan mnamo Januari 2022 na kufanyiwa upasuaji lakini...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Inna Lilah, Wa Inna Ilaihir Rajiuun, Aliyekua Katibu Mkuu wa Yanga Bwana Abdul Sauko amefariki leo Alfajir katika Hospital ya Mloganzila. Taarifa zaidi zitafuata ===== Abdul Sauko (kushoto)...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Beki wa KMC, Ally Sonso amefariki dunia leo katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na jeraha la mguu. Marehemu enzi za uhai wake aliwahi kuchezea timu za Yanga, Lipuli...
7 Reactions
84 Replies
11K Views
Hernan Mastrangelo ambaye alijulikana zaidi kwa jina la Don Hernandied amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 101, huyu anasifika kuwa shabiki wa Lionel Messi ambaye aliandika katika makaratasi...
3 Reactions
1 Replies
745 Views
Back
Top Bottom