YANGA YAMUANGUKIA MZEE MAGOMA
Kufuatia matokeo mabovu inayoyapata kwa siku za hivi karibuni Klabu ya Yanga kupitia kwa rais wake Eng:Hersi imeamua kumpigia goti mzee Magoma ili kumaliza tofauti...
Habari! Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Jana baada ya kipigo cha 0-2 toka kwa Al Hilal ya Sudan, baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiongozwa na Kibwana Shomari walionekana kuondoka uwanjani...
Watu mapema walianza kumwonya Dube Mpomelelo kuachana na hizi show za kiduanzi. Akawa mbishi.
Mtu akiwa kwenye mapenzi hasikii haoni. Huyu demu inasemekana. Wachezaji na viongozi wanapigiana...
Katika vitu vimenishangaza mpaka nikabaki nalia ni hili suala la wanasimba wenzangu kufurahia ushindi goli Moja dhidi ya timu dhaifu kwenye ligi dhaifu ya shirikisho ( kombe la wa...
Nimeamua kuhamia jukwaa la siasa
Sasa
Napumzika ubishi wa Simba na Yanga
Nataka nianze kujadili mawazo mazito ya siasa
Nina akili na maarifa makubwa ambayo yanaweza kusaidia Taifa
Tujadili...
Nimesoma waraka ambao umeuandika kwa uchungu mkubwa sana,nami nimeusoma kwa uchungu mkubwa sana.
Ni kweli unapitia madhila,matusi,lawama,kejeli,kashfa na kila aina ya masimango.
Nakuhakikishia...
Wakuu
Kampuni ya Kisheria inayomsimamia Mfanyabiashara Sandaland the Only One ambaye ndie Mtengenezaji wa jezi za SIMBA imemtumia barua Meneja wa Habari wa Yanga, Ally Kamwe ikidai fidia ya...
Safari ya Kujirudi na Hali ya Yanga
Kuna kipindi nilijikuta nikitegemea sana pombe—whisky, gin, na bia. Ilifika hatua hata uwezo wangu wa kawaida wa kupiga shoo ulishuka sana. Nilikuwa siwezi...
Nashauri mechi za Caf zote uwanja wetu wa nyumbani uwe uwanja wa Aman Zanzibar!
Au mnasemaje ndugu zangu! Yanga hii inafungwaje! MBELE DAIMA NYUMA MWIKO!!!
Kwanza kabla ya yote namshukuru Mungu Huwa nikileta mada hapa jamii sports, kwa mara ya kwanza watu Huwa wanaichukulia tofauti ila baada ya mda ukweli unadhibitika!!. fuatilia mada zangu za humu...
Kimsingi kuna makosa yametokea katika kumtimua Gamondi na kum replace mtu ambaye hana uzoefu wa mashindano ya CAF muda mfupi kuelekea kuanza kwa mashindano.
Mechi ya juzi ya Yanga dhidi ya Al...
Kwa muda mrefu kuna watu walikuwa wameshupalia maandishi ya Mo Dewji Foundation yaliyo nyuma ya jezi ya Simba. Kejeli zikawa nyingi pamoja na kwamba maandishi hayo yapo kiunoni na si makalioni...
Match Day
Simba SC vs Bravos do Maquis FC
Time 1600hrs
Kikosi Cha Simba Kinachoanza.
#Nguvumoja
Updates...
1'
Mpira umeanza kwa kasi, Simba wanamiliki mpira wanapeleka shambulizi ndogo kwa...
Watani wangu ni kama wamekosa mtu wa kumlaumu. Sasa mimi nawasaidia, mbaya wenu ni huu Mtandao wa YAS. Hili jina limewalenga nyinyi.
Mnakumbuka mmeshapigwa mara 3 mfululu? Kuna vipigo vingine...
Vipigo Vya Mfuatano ambavyo Yanga imekumbana navyo vimesababisha 'Wenge' zito pale Jangwani.
Katika pita pita mtandaoni kila MwanaYanga anayejihisi anayo influence anakuja na Andiko La kujipoza...
Camara
Aishi Manula
Ayubu Lakred
Husein Abel
Ally Feruz
Ally Salim katoro
Hii huenda ikawa rekodi ya aina yake,kwa nini wasibaki wanne tu mkasajili wachezaji wa ndani
Baada ya kutulia toka nilivyotoka ziarani nchini Uganda kwa museveni na GENTAMYCINE nimefanikiwa kufanya uchambuzi wa kina kati ya timu ya Simba na wapinzani wao Bravos Kwa kweli takwimu za Bravos...
Miaka ya hivi karibuni yamezuka makampuni mengi ya kubetisha (Kamari)
Katika uchunguzi wangu nimegundua makampuni haya yako vizuri sana kulinda pesa za wateja mara tu wanapo deposit katika app...
Nimemsikia akihojiwa kwenye redio Moja ya Mwanza, jembe fm kuwa alianza form 1 huo mwaka
Nikajiuliza alisoma akiwa na umri Gani shule ya msingi.
Hakika udanganyifu wa umri Africa hasa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.