Sidhani kama Azam itabadilika tena kwasababu kila aina ya usajili wamefanya, siyo wachezaji au makocha wamesajili sana mara nyingi ila kitu ni kile kile.
Timu nyingi kwenye ligi unaona mabadiliko...
Baada ya kuchezea vipigo mfululu, Man City leo yupo ugenini Anfield kucheza na vinara wa ligi Liverpool
Mechi ya leo, Man City hatofungwa. Hesabu za kinyota zinaonyesha kabisa leo Liverpool sio...
Jumapili njema kwa kila mmoja wetu.
Ndugu zangu Nina jambo naomba kuuliza ukitazama mechi za ulaya kuna wale watoto ambao wakati timu zinaingia uwanjani wanakuwa wameongoza wa wachezaji hadi...
I salute you kinsmen..
Huyu bwana mdogo mwanzo tulikuwa na matarajio naye makubwa sana
Lakini siku zinavyozidi kwenda kibabage amegoma kuwa modern full back ..
Yaani anacheza hovyo sana sana...
Kwa kawaida baada ya timu kupitia mafanikio makubwa mfululizo huwa kuna hali ya wachezaji kurelax na kucheza kwa mazoea wakiamini ubingwa unapatikana kirahisi, Ukiachana na suala la umri wa...
Mechi ilikuwa nzuri
Wachezaji wa Yanga wameonyesha ukomavu na uvumilivu hadi nafasi za kufunga zikapatikana
Wachezaji wetu hawana fitness nzuri sana.
Nadhani labda uchovu kushinda ubingwa mara 3...
Mwanariadha wa kimaraifa Magdalena Crispin Shauri ameshinda medali ya DHAHABU 🥇 kwenye mbio za Shenzhen Marathon 2024 kwa muda wa saa mbili, dakika ishirini na tisa na sekunde thelathini (2:29:30)...
Kifurushi cha furaha ambacho tuliwaunga watani kimedumu Kwa wiki 3 na Leo kimekwisha
Yanga tumemfunga Simba mara nne mfululizo na Bado tutaendelea kumfunga hadi ifike mara 20+
Watani ambao...
Sijaona kiwango chochote cha maana walichokionesha yanga.
Uto wameshinda kwasababu namungo ndio timu mbovu kuliko zote ligi kuu.
Yaani kwa kifupi kipofu kaona mwezi.
UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA WAFIKIA 11%
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amesema anaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha...
Kuelekea mechina Namungo,kocha mpya wa Yanga akiongea na waandishi wa habari amedai hakujua kama Yanga ni timu kubwa kivile mpaka alipotua nchini,dunia hii ya mitandao anafeli wapi kuifuatiliatimu...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Kabla ya yote nikubali ya kwamba Mimi ni shabiki na mkereketwa wa timu ya Yanga!,hivyo nitakachokiandika hapa kinaihusu timu ya Yanga!
Tangu ligi ya NBC...
amini usiamini leo timu mbovu inafungwa tena ikibidi ishuke daraja kabisa msimu huu,we kolo we wacha kukenua meno yasiyopigwa mswaki wiki 6 nazungumzia Namungo ndo timu mbovu lazma ifungwe tena...
kama manvyojua mimi ni Yanga ndani ya jamii ya makolo; ndugu zangu wote ni kolo tupu. Yanga ilipofungwa na Azam, ndugu zangu walinizomea sana na kudhani kama vile wao ndio wameshinda.
Nikawaambia...
Usipoifunga yanga utaifunga timu gani?
Yanga(matunguli fc)
Mechi : 2
Yanga 0 azam 1
Yanga 1 tabora utd 3
Points:0
Magoli ya kufunga:1
Magoli ya kufungwa:4
Msimao : no #2(hadi mwezi wa 3 watakuwa...
Defamation Haina uzito kwa tz tu kwakua watu wanachukulia poa, lakini kwa nchi za wengine ni bonge la case.
sio kosa kuponda jezi za Simba, kosa ni kutaja jina la mtengenezaji na msambazaji...
Ule utovu wa nidhamu umeendelea kutamalaki kupelekea wachezaji waaandamizi Aziz Ki na Mwamnyeto kuchapana makonde mbele ya kocha mpya, inasemekana Mwamnyeto anamtuhumu Aziz Ki kupeleka majungu kwa...
Hili suala toka Azam waliweke wazi tunaona kilichotokea. Yanga waliona wamevuliwa nguo wakasusa na Uwanja wa Azam kwa hasira. lakini Si Viongozi wa Yanga wala wa TFF ambao wamewahi kulizungumzia...
Jina lake : Ally Shaban Kamwe
Nafasi : Kitengo Afisa habari Yanga
Mkoa aliozaliwa : Kilimanjaro
Kabila : Mpare
Umrefu : 5.1
Urefu wa ume wake : 4.7
Uzito : 59kg
Kabila la Mama : Mchanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.