Dar es Salaam, 1988
▶️Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Joseph Sinde Warioba akimkabidhi tuzo ya Mchezaji bora chipukizi Ligi Kuu mwaka 1988, kiungo wa...
Baada ya sakata la msemaji ya club ya Msimbazi, Ahmed Ally kutoa kauli zenye lengo ovu la kuichafua image na taasisi nzima ya Yanga, Msanii maarufu na mtangazaji, Baba Levo amewasihi viongozi wa...
Mwanasheria wa Yanga, Simon Patrick, ametoa ufafanuzi juu ya umiliki wa mchezaji Yusuf Kagoma baada ya mazungumzo marefu na klabu ya Singida Fountain Gate. Patrick alisema, "Tulianzisha maongezi...
Utu uzima dawa Manara ametumia utu uzima na busara zake kumuombea msamaha Ally Kamwe .
Adai masuala ya michezo ni tofauti sana ni mambo mengine kama uinjinia , udaktari ..nk...
Kuna michezo mingi ya muhimu ambayo inastahili kuwekewa LIVE updates, michezo ya FIFA, AFCON, UEFA Champions Leaague, CAF Champions League, Ligi kuu bara, nk. Hii michezo mingine inayohusisha timu...
Taarifa inasema Pamba imepigwa faini milioni 5 kwa kufanya vurugu, kwa kosa la maafisa wake kuingilia mazoezi ya klabu ya Simba siku moja kabla ya tarehe ya mchezo tajwa hapo juu katika uwanja wa...
Angetile Osiah
Kwa sasa dunia inafuatilia kwa makini na kusubiri kwa hamu mwenendo na uamuzi wa mashtaka 115 ya uvunjaji wa kanuni za kifedha unaotuhumiwa kufanywa na klabu ya Manchester City...
Ulevi ni maisha binafsi sawa Ila haukuwa sawa Kwa Pacome kukesha lemente bar pale Masaki na timu ikiwa na mchezo wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal
Pacome na Baleke wamekuwa maarufu kwenye Ma bar ya...
Wakuu!
Naona vijana wanaendelea nguvu ya uchawa kawa Rais maana kila kitu sasa utasikia Samia hivi na vile yani hashitag kibao kumuhusu Rais Samia.
Sasa ndiyo njia pekee ya kufanikiwa kwenye...
COLE PALMER does not yet have the silverware to match modern-day Chelsea legends - but he has become Stamford Bridge royalty in record speed.
The 22-year-old capped his 60th Blues appearance with...
Mchezaji wa Fiorentina aitwae Edoardo Bove ameanguka uwanjani na kupoteza fahamu wakati wa mchezo kati ya timu yake na Inter Milan kwenye Ligi kuu ya Italia.
Tukio hilo limetokea ghafla dakika...
#siopovu
Ninacho kiona sasa ni kwamba kipara makulega bwana Guadiola ni over hyped coach ni kocha ambae watu wana mchukulia kama 50 cent ila ki uhalisia ni 20 pasenti.
Kwa team aliyo nayo...
Najua wengi Huwa tupo busy na simba na yanga
Yanga wapo ovyo saivi ata kesho akipoteza na namungo sio surprise
Simba hawaeleweki wanacheza Nini infact wachezaji wenye uhakika wa number ni CAMARA...
Klabu ya Simba imetozwa faini ya Sh. 5,000,000 (milioni tano), kwa kosa la walinzi wake kufanya vurugu na kuvuja mlango na kioo cha dirisha la ofisi ya meneja msaidizi wa uwanja wa CCM Kirumba...
Siku hizi mtaani tunashuhudia watu wakivaa jezi za timu mbalimbali wanazozipenda na wengine huvaa zile zinazowavutia hata kama hawaipendi au kuifahamu klbau yenyewe.
Sina hakika kama wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.