Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Jezi mpya za Yanga kwaajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika zimeandikwa Visit Zanzibar kwa nyuma upande wa chini. Huko ni kujipendekeza kiwango cha SGR. Kwanini wasitangaze Visit Tanzania, Visit...
2 Reactions
8 Replies
343 Views
Ukiangalia soka letu la leo kweli vijana wanaonyesha uwezo mkubwa ila naamini wapo wengi zaidi ila wanakosa nafasi ya kuonekana, mashindano ya mikoa yalisaidia sana vijana wengi kuonyesha vipaji...
0 Reactions
1 Replies
167 Views
I salute you kinsmen.. Hili kombe la wazembe mnaloita shirikisho limekuwa likizidi kupoteza mvuto siku hadi siku . Mtakumbuka CAF walipanga kulifuta lakini wakaghairi, hapo ndipo walipokosea!❌️...
2 Reactions
13 Replies
505 Views
Kumekucha Jangwani, wenyewe wahaha baada ya kipigo cha mbwa koko cha bao 2 kwa nunge dhidi ya Al Hilal ya Sudan. Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium |...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Ni kama historia ya hii timu na mwandishi kagonga mlele,napataje kitabu hiki kuna kitu nataka kijifunza.
1 Reactions
0 Replies
214 Views
Huyu mwarabu anajua kunata na biti
6 Reactions
9 Replies
552 Views
Kuna wakati huwa najiuliza huyu mwanga anayeroga akili za viongozi,mashabiki na wachezaji ni nani hasa? Mbona mi naona Morrison bado anahitajika sana hasa kwa Simba hii? Samahani kwa wenye chuki...
2 Reactions
30 Replies
1K Views
I salute you kinsmen Hawa Waarabu hapa wamewasha moto wa hatari sana kiasi kwamba naogopa team ya simba itaenda kutia aibu kubwa sana taifa siku zijazo maana wapo kundi moja. Kutokana na tia maji...
4 Reactions
128 Replies
3K Views
Wakuu habari Mimi Niko Chuo mwaka wa tatu Sasa. Napenda Sana kufanya mazoezi Sasa nataka kutumia hii passion ya mazoezi kupiga Hela. Swali wapi ntapata chuo AU college AU wapi naweza kufundishwa...
3 Reactions
29 Replies
714 Views
Nchi ya Afrika Kusini imeanzisha jitihada zake za kuomba kuwa mwenyeji wa Michezo ya Olympics ya mwaka 2036. Ikiwa ombi hilo litakubaliwa Afrika Kusini itakuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuwa...
2 Reactions
0 Replies
132 Views
Huwa siangalii sana michezo ya timu za shirikisho, Ila baada ya kuwa nimeketi sehemu nikipata kinywaji nikaona watu wakitazama mpira wa Simba hivyo kwakuwa nilikuwa nimeketi na TV ikiwa mbele...
6 Reactions
17 Replies
817 Views
Mbinu za uyu kocha ni zile zile abadiliki nilikwishasema kwenye bandiko langu lililopita nilipomfatilia kwenye mechi 5 zilizopita za ligi,,anapokutana na kocha anayecheza kimbinu anapata tabu...
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Kwanza poleni sana mashabiki wa nyuma mwiko kwa kipigo ilikuwa ni suala la muda TU, mmebebwa vya kutosha Leo ilikuwa hakuna namna mmegongwa!! Kadi ya Khalid Aucho ( ya njano ) aliyopata Leo ni...
1 Reactions
1 Replies
267 Views
Hili jambo nimeliwaza muda mrefu sana ila sijawahi kupata nafasi ya kulisema. Hii timu ya Al Hilal ya Sudan sijawahi kuielewa style yake ya uchezaji. NI timu ambayo ki-rank unaweza kusema ni moja...
15 Reactions
93 Replies
4K Views
Haji Manara ni binadamu mwenye connection na watu wengi wafanya siasa na wasio wafanya siasa. Kwalo, inatosha kukupa tija kwa lolote utakalo lifanikiwe. Bahati mbaya yupo kijana kwa kujulikana...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Huu ni aina ya ushamba wa kiwango cha juu katika soka kwani hakuna timu isiyofungwa. Huu ushamba tumewaachia yanga ambao wanatumia njia halali na haramu kulinda kauli mbiu yao hii ya kishamba hadi...
2 Reactions
7 Replies
282 Views
F.C Bravos do Maquis inayocheza na Simba leo (Shirikisho) nimeona kiwango Chao kiko juu sana kuliko Yanga. Leo hii ingekuwa inacheza na Yanga ingeshinda hata goli 3.
7 Reactions
78 Replies
1K Views
Hapo jana timu aliyotoka kocha wa Yanga Ts Galaxy imeibuka na ushindi wa goli 1 kwa 3 ikiwa ugenini dhidi ya Sekhukhune ambayo ipo nafasi ya 7 kwenye msimamo wa League. Timu hiyo imeonja ushindi...
0 Reactions
4 Replies
438 Views
Jamani Tanzania ni nchi ya amani, na pia katika upande wa michezo tunaamini katika fair play na uhuru wa kutoa maoni bila kufanyiwa ukatili. Kuna video inasambaa kwa kasi kubwa mitandaoni...
13 Reactions
74 Replies
3K Views
Naona maoni na masimango yamekuwa mengi sana hasa hasa kutoka umbumbuni baada ya yanga kupoteza dhidi ya Al hilal lakini nawakumbusha tu hili ni kombe la wanaume haswaa sio kombe la washindwa...
5 Reactions
91 Replies
2K Views
Back
Top Bottom