Manara nakuonya acha kuhujumu club ya yanga Africans
Hii timu Ina historia kubwa katika mpira
Hao waganga wako pamoja na wewe mtaenda pamoja
Hii timu ni tunu ya Taifa ndio mwasisi wa Uhuru...
I salute you kinsmen.
Tulisema tangu mwanzo uongozi wetu Yanga unalega lega sana , kabla hata ya kufungwa na Azam, kisha Tabora ,na sasa wasudan wale .
Kuliikuwa na viashiria vingi tu uongozi...
Tukisema kuna wachezaji wanatakiwa wafyekelewe mbali watu mnakuja juu.
Nacheki hapa Orlando anavomkimbiza CRB naona kwa hii kasi Yanga itakuja kututia aibu mbaya sana
Pacome huyu ni mzee...
Afisa habari wa klabu ya Yanga Ally Kamwe amesema:
"Nataka niwaambie tu Yanga hii bado, Januari kutakuwa na ongezeko la mchezaji mwingine wa kigeni. Kwa hiyo haijakamilika, tunahitaji kuchukuwa...
BREAKING NEWS: Simba SC watashiriki Kombe la Shirikisho Msimu ujao baada ya kushika nafasi ya tatu kwenye Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Azam FC na Yanga SC watashiriki Klabu Bingwa Barani...
Hapo vip!
Kwa mchezo na matokeo ya leo ya Yanga dhidi ya Ken Gold ni dhahiri ya kwamba yanga ni timu mbovu sana.
Na leo imedhihirisha hizo timu Yanga alizocheza nazo za club bingwa CBE SA na...
Wana JF members Kuna siri gani inayofichwa mpaka kocha Gamond kufukuzwa kihuni na wahuni wa mjini.
1 .Je issues ni kuruhusu wachezaji kufanya mambo ya kijinga mpaka kulishwa visivyolishwa.
2. Je...
Kikosi cha Yanga SC kitashuka uwanjani kupambana na CBE SA FC katika mechi ya mkondo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League 2024/2025) leo, Jumamosi, Septemba...
Leo kuna mtanange wa kukata na shoka kwenye viunga vya Cairo..na hiki ndio kikosi cha Yanga kitakachoanza
======
Waarabu wa Misri Waibana Mbavu Yanga
Kikosi cha Yanga jana kimeshindwa...
CAFCL Group A Preview!
Get ready for a thrilling Group A, where all four teams have a genuine shot at advancing to the next round.
Upsets are a real possibility, and even the favourites could...
Habari za mda huu
Toka naanza kusikia siza zake na fist match namuona NIKAGUNDUA watanzania Huwa tunasifia mtu Kwa kufuata mkumbo bila kuangalia kiufundi
Beki wa yanga BACCA Kila match...
Watanzania ni watu ajabu ajabu sana!
Hatuna uvumilivu ,ni watu wa papara, majungu na fitina sana! Kufungwa mechi mbili tu unamfukuza Kocha!
Manara naye mtu wa fitina na Unafiki sana!
Kisa...
Klabu ya Simba imetangaza kuachana na CEO wake raia wa Rwanda bwana Regis Francos kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao je sababu hizo zaweza kuwa ni zipi? mbona Simba inafanya vizuri katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.