Wana Man Utd, Xavi au Nagelsmann yupi anafaa kuwa kocha mpya wa Man Utd?
Kipara ngoto kashaondoka.
Yupi anayefaa?
Pia soma > Erik Ten Hag atimuliwa Manchester United baada ya kipigo dhidi ya...
Ndugu wana Jamiiforums
Kwanza nianze kwa kuipongeza timu yetu ya taifa (Taifa Stars) kwa kufuzu kushiriki fainali za kombe la Mataifa ya Africa zitakazofanyika nchini Morocco. Ni hatua nzuri na...
Wakuu,
Kumbe kuna kampeni ya kupata kura za wamasai na hamsemi :BearLaugh: :BearLaugh:!
====
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 -...
Mashindano ya Samia Kagera Cup 2024 yaliyowakutanisha vijana na wananchi wa Mkoa Kagera kwa kuwahamasisha kushiriki kikamilifu na kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika...
Tunapenda kuutarifu umma kuwa Klabu ya Simba, imefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na Ndugu Francois Regis, ambaye alikuwa ni Mtendaji Mkuu kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu...
Mpira mchezo wa ovyo sana, muda wa kushine huwa hauzidi miaka 10
Unaweza kucheza kwa Ujanja ujanja au bahati moaka miaka 15-20 mwishi
Kuna wachezaji wakitemwa na Simba au Yanga wanalia, wako...
Mwaka 1964 ndio ulikuwa mwanzo wa Tanzania kuanza kupeleka wanamichezo kwenye michezo ya Olympic na tumekuwa tukifanya hivyo kila wakati isipokuwa michezo ya Olympic ya mwaka 1976 huku pia tukiwa...
Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba imemteua Raia wa Rwanda, Uwayezu Francois Regis kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu hiyo kuanzia Agosti 1, 2024 baada ya Mkurugenzi aliyekuwepo, Imani Kajula...
Licha ya kuwa mwanzoni mwa msimu huu ilielezwa Kocha Pep Guardiola ataondoka ndani ya Manchester City mwishoni mwa msimu huu wa 2024/25 inadaiwa kuna uwezekano wa Kocha huyo kusaini mkataba mpya...
Mshambuliaji raia wa Uganda, Bayo Aziz Fahad ambaye Mwananchi iliripoti tetesi zake za kusajiliwa na Klabu ya Yanga, hatimaye ameonekana katika mazoezi ya timu hiyo iliyoyafanya jana Avic Town...
Pep Guardiola has lost five consecutive games for the first time in his managerial career. 🤯
◉ First defeat: 2-1 vs. Tottenham
◉ Fifth defeat: 0-4 vs. Tottenham
It's also the first time he has...
Katika medani ya kimichezo Tanzania, historia ya kuletwa medali ya kwanza katika mshindano ya kimataifa ilitekelezwa na mwanamama Theresia Dismas
Watanzania hatukumjua na hata tukatabiri kwamba...
Tarehe 16/8/2024 ,msimu mpya EPL unauanza ,hivyo Official JamiiForums fantasy league inarudi tena .
Namna ya kujiunga
Code to join this league: gxdwy2
Au...
Kumekucha Ligi Kuu Bara, afisa habari wa Singida Black Stars Hussein Massanza ameahidi kuvaa wigi la afisa habari wa Tabora United Christina Mwagala, endapo timu hiyo ya mkoani Tabora itashinda...
Asilimia 90 ya viongozi kwenye mpira ni waislamu na hao wakristo watalaazimishwa kufuata tamadani za kiislamu. Na hata baadhi ya timu ili upate number ni lazima ubadili dini kwenda uislamu hata...
Naanza na kunukuu maneno ya Mwanariadha maarufu Nchini, Alphonce Simbu ambayo nimeona JamiiForums.com ilimnukuu wakati anawasili akitokea Paris, Ufaransa alipoenda na Wanamichezo wenzake kushiriki...
Kwa kuwa mwanamama Theresia Dismas ndiye mtanzania wa kwanza kuiletea Tanzania medali ya Fedha kwa mchezo wa kurusha Mkuki mwaka 1965 kwenye mashindano ya All African Games yaliyofanyika...
Kamati ya Olimpiki Tanzania , wazee wa TOC wanatarajia kufanya uchaguzi tarehe 14/12/2024 eneo lile lile la kila wakati DODOMA HOTEL , Dodoma na wasamizi wa uchaguzi ni watatu tu. Uchaguzi...
Ni sehem gani kwa Dar es Salaam hii michezo kaama skateboard, scooter, roller skate au biking inafanyika na kama kuna vikundi, organization na sehem wanako patikana na sehemu ambazo huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.