Wadau nikiwa shabiki mkubwa wa Taifa Stars,sikutarajia kabisa kama TFF ingeiandaa Taifa Stars kwa kiwango cha chini kiasi hiki.
Kutokana na jinsi tulivyohangalika kwa miaka 39 kushiriki...
Michezo ya marudiano ya mtoano ya kupanda Ligi iliyopigwa hii leo imekamilika kwa Mwadui FC kuitoa timu ya Geita Gold FC na Kagera Sugar kuitoa timu ya Pamba FC
Mwadui FC imelata ushindi wa goli...
Hivi all this time tunadanganyana kwamba vyura walicontribute 3 points in the 5 years CAF rankings kumbe ni 2???kama simba kaongezea 16 points hawa vyura wanakataa nini kupiga magoti na...
Lile zee linafiki lililoacha team yake ikichapwa iringa na kubaki dar kuifanyia simba hujuma dhidi ya as vita ya congo mbaya zaidi liakeneneza uvumi eti simba inapulizia sumu vyumbani na kuhimiza...
baada ya stand united na afrika lyon kushuka dalaja ,
nafas ilibaki moja ya kushuka , lakn timu zote zimebak ligi kuu ,
sasa timu gan ya tatu kushuka ,
anaeelewa anieleweshe
Wanabodi,
Leo kwa namna ya pekee niwatakie heri timu ya Pamba FC, wanakawekamo, TP lindanda washinde na kurejea ligi kuu.
Mimi Pamba FC ndio ilikuwa timu yangu ya kwanza kushabikia na kuhudhuria...
Ukiwa kama mdau wa michezo, nimejaribu kuangalia kikosi kilichotajwa, hususani kwa upande wa washambuliaji nimeshindwa kuelewa kwann watu walalamika swala la kuachwa Ajibu
Katika list apo chini...
Timu ya Taifa ya Zambia leo tarehe 08 Juni, 2019 imenyakua Kombe la COSAFA 2019 baada ya kuinyuka Timu ya Taifa ya Botswana kwa bao moja kwa bila. Bao la washindi liliwekwa kimiani na mshambuliaji...
Wachezaji saba waachwa kwenye kikosi cha AFCON 2019
Ibrahim Ajibu
Jonas Mkude
Shomari Kapombe
Khasim Khamis
Ayoub lyanga
Kennedy
Ally Ally
Wachezaji 32 wa Taifa Stars ambao wanaondoka kwenda...
Ifuatayo ni list ya wachezaji inaosemekana Simba inataka kuwaongeza katika usajili wa dirisha hili
Wachezaji wazawa waliowekwa kwenye hii list ni watatu tu Beno,Ajibu na Chilunda binafsi...
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo kimeondoka nchini Tanzania na kuelekea nchini Misri kwa ajili ya kuweka kambi maalumu ya maandalizi ya michuano ya Afcon itakayofanyika...
Nàanza kwa kudeclare interest. Mimi ni die hard fan wa Dar Es Salaam Young Africans na kifuatacho ndio kikosi changu bora cha wakati wote kwa wachezaji wanao/ walio wahi kucheza soka la bongo...
Neymar awasilisha taarifa kwa polisi huku kampuni za matangazo zikianza kuvunja mkataba naye
Nyota wa Brazil Neymar alienda katika kituo cha polisi mjini Rio de Janeiro kuwasilisha taarifa...
Namba 10 wa serengeti boys sio wa sport sport kama wengi wanavyo mchukulia poa kwa sababu ya udogo wake.
Ni finisher hatari sana, kana akili ya mpira . Kama kocha atampa muda mwingi anaweza fanya...
Kwa wafuatiliaji wa huu mchezo wetu pendwa wa soka, watakubaliana na Mimi kuwa tangu yanga wapate uongozi mpya kumekuwa na utulivu wa Hali ya juu huku utekelezaji kwa vitendo kwa Yale waliyo...
Nilishauri Mohamed Hussein Zimbwe Jr alias Tshabalala aongezwe timu ya Taifa na nimeona jna lake katika orodha ya wachezaji waliotwa Stars.
Mimi ni die hard fan wa Dar Es Salaam Young Africans...
Tumeona team nyingi zinazoenda Afcon zikiagwa kwa uzito sana, sisemi halijafanyika hilo hapana ila je, tumekosa viongozi wote wa juu kwenye hili?
Wenzetu wengi wameagwa na Viongozi wakuu wa nchi...
Yule mzee muongo muongo san hapa huwa anajitambulisha he is 46,why lakini jamani na nyie waandishi wetu hata kufatilia mlishindwa kutwa kujisifu kafundisha ulaya kumbe hiyo afc tubize ipo daraja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.