Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ujio was AFCON umedhirihisha ukweli mchungu. Hatuna waamuzi wa viwango. Tunao wabovu au wapokea maagizo ya TFF. Kenya angalau wana refa na msaidizi mmoja. Uganda yupo msaidizi mmoja. Rwanda na...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wakuu Shirikisho La mpira wa miguu baran afrika limethibitisha rasmi Tanzania itapeleka timu 4 katika mashindano ya vilabu Barani afrika shiriksho limesema mwisho wa kufanya usajir kwa...
4 Reactions
197 Replies
24K Views
Naona CUF wamesanda mbele ya mashabiki ulimwenguni na kuamua fainali kati Esperence na Wydad Casablanca iludiwe uko Misri mwezi July baada ya michuano ya kombe la mataifa Afrika kuisha. Mechi...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Nchi yetu ilisherekea tulipofuzu AFCON lakini baada ya hapo si wanasiasa wala wanamichezo ambao wamejitolea kuonyesha mbwembwe kuelekea fainali hizo huko Misri....hakuna ahadi wala maneno ya...
0 Reactions
9 Replies
903 Views
Leo Waingereza watacheza nusu fainali na Wadachi ili wakacheze fainali na Portugal England vs Netherlands. Je ni channel ipi itaonesha, leave away DSTV, kwsbb nilipo Dstv haipo.
0 Reactions
1 Replies
953 Views
Habari wana jamvi pendwa la Sport(Football) Mchezo pendwa zaidi ulimwenguni lakini kama haitoshi kwa kizazi hichi M/Mungu akatubariki kuweza kushuhudia miongoni mwa wasakata kabumbu bora zaidi wa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Klabu ya Esperance ya Tunisia(ES Tunis) jana ilifanikiwa kutetea ubingwa wa Klabu Bingwa barani Afrika baada ya kuizaba bao 1-0 klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco kwenye mchezo wa pili na wa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mrisho Ngasa kwenye timu ya Taifa ndo anayeongoza kwa magoli na kwa Africa ndo ndo mchezaji wa 20 mwenye magoli mengi Africa.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Soka la bongo ili mwekezaji pamoja na club yenyewe iweze kufanikiwa ni clum mbili tu ambazo ni Simba na Yanga Mpira ni kuwa na fan base team kama azam haina fan base ndio maana inashindwa kupiga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sijaona msanii kama huyu duniani, almost five years jela lakini anakimbiza industry ya dancehall vibaya, najua wabongo wengi hawasikilizi dancehall lakini kama unataka kumjua huyu jamaa ni pm au...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Duniani kote mchezaji wa mpira kabla ya kusajili hufanyiwa uchunguzi wa kiafya na madaktari maalumu wa michezo.Hivi karibuni Klabu ya Yanga imekuwa inafanya Usajili kwa kasi kubwa kama vile...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Hatua hiyo inajiri baada ya taifa la Tanzania kuorodheshwa miongoni mwa mataifa 12 barani Afrika yenye ligi bora . Hiyo inamaanisha kwamba klabu ya Yanga ambayo ilimaliza katika nafsi ya pili...
1 Reactions
8 Replies
7K Views
Nimepitia Wikipedia page ya CAF 2019 Tanzania tuna point 4. Bado hazikuwa zimefika 18. Ni SIMBA tu ndio wataenda. Timu nne ni 2020/2021. GUGO CAF CHAMPIONS league 2019/2020
0 Reactions
12 Replies
3K Views
CAF has today taken some decisions about the controversies in the second leg of Champions league between ES Tunis & Wydad Casablanca: [emoji1542]- The game will be replayed on neutral ground due...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Shirikisho la soka Afrika CAF baada ya kukaa kikao cha dharura Paris Ufaransa kimekuja na majibu ya kufuta matokeo ya michezo yote miwili ya fainali ya CAF Champions League kati ya Wydad...
0 Reactions
1 Replies
931 Views
Fainali ya Africa champion league kati ya Wydad Casablanca ya Morocco na Esparance ya Tunisia itarudiwa tarehe 31June katika uwanja huru
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana bwana pale Tunisia ulipigwa mtanange wa fainali ya pili baada ile ya kwanza iliyochezwa wikimoja iliyopita kule morrocco kuisha kwa 1-1. Kwenye ile mechi ya mkondo wa kwanza lilifungwa goli...
22 Reactions
110 Replies
11K Views
fainali mkondo wa kwanza nyumbani kwa WYDAD 1.ESPERANCE wanapata goli 2. Beki wa WYDAD anapata kadi nyekundu baada ya kupewa njano mbili 3.WYDAD wanasawazisha goli , goli linakataliwa baada...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Nahodha wa timu ya taifa ya vijana ya Algeria wenye umri chini ya miaka 13 (U13) kushoto,wakipeana mikono na nahodha wa timu ya vijana ya klabu ya Caen ya Ufaransa chini ya miaka 13 (U13) kulia...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
CAF has today taken some decisions about the controversies in the second leg of Champions league between ES Tunis & Wydad Casablanca: [emoji1542]- The game will be replayed on neutral ground due...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom