Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakuu habari zenu.... Leo imenibidi niongee na Hassani Dilunga (HD), Kiungo machachari, Una sifa zoote brother, nilianza kukuona wa tofauti kwanzia mechi ya Nkana, pressing yako sikutofautishi na...
6 Reactions
24 Replies
5K Views
Tutoe macho na mawazo kwenye siasa kidogo- haya mapesa ya CL balaa European Champion Clubs' Cup Prizes Trophy and medals Official trophy Each year, the winning team is presented with the...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Breaking News Gari la Kurusha Matangazo la Azam Tv limezuiliwa kuingia Uwanja wa Nyamanaga Kurusha Mechi ya playoff baina ya Pamba na Kagera Sugar. Hii imetokea baada ya kutokuwepo makubaliano...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Je mashetani wa Spurs wanao uwezo wa kuwashambulia Liverpool? Sitaki kuwa mtabiri Arsenal imenifunza kitu
7 Reactions
135 Replies
10K Views
Majigambo kila Kona ya Dunia
0 Reactions
127 Replies
9K Views
Mimi binafsi nitaenda. What about you chiefs? Wabongo mnaoishi Egypt tupeni Abc za maisha ya huko. Like gharama za malazi chakula na totoz
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Mechi ya kwanza kuwakutanisha mawinga hawa ilikua ni August 29 2009 na nyota ikaanza kuwaka siku ya kwanza tuu pale mjuzi wa asist Ribbery alipo mu asist mjuzi wa goli mara mbili nae hakufanya...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Bwana hee umepigwa mpira wa nguvu bonge la mechi ya maana full vikosi yani aliyekosa hii mechi amepitwa na mengi. Timu kiba imesheeni wachezaji wakufa mtu ila wakachezea 6-3 Kituko sasa kaseja...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
Saa 4 zilizopita: Klabu ya uturuki Kasimpasa fc ilitangaza meneja wao mpya İbrahim Üzülmez ambaye aliwasili katika mkutano wa waandishi wa habari kusaini mkataba mpya. Saa moja iliyopita...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau kama kichwa kisemavyo..napatwa ukakasi kutafakari juu ya hali ya ghafla ya mahaba na ukaribu anaojaribu kuuonyesha Mkuu wa Mkoa was DSM na goli kipa wa Simba Aishi Manula.. Alianza kumsifia...
7 Reactions
167 Replies
16K Views
Azam TV hawaoneshi game zinazoandaliwa na Kampuni ya SportPesa, iwe lile kombe la SportPesa Super Cup linazokutanisha timu za Afrika Mashariki au hata mechi ya juzi kati ya Sevilla na Simba...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Soka la nje ni big deal na sote tunajua, Jana katika fainali za Uefa champions league, Timu zote liverpool na kenya zilikuwa na wakenya, upande wa liverpool ambao ni mabingwa wapya wa uefa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
What is it? Tottenham vs Liverpool, the 2019 Champions League final. After two incredible comebacks - Liverpool vs Barcelona and Spurs against Ajax - we have an all-English final. When is the...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Jurgen Klopp akipita karibu na Kombe la ligi ya Mbingwa baada ya Liverpool kushindwa 3-1 na Real Madrid katika fainali ya mwaka 2018. Rekodi ya Jurgen Klopp ya kufikisha timu yake katika fainali...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimekuwa nashangazwa na Yanga kuendelea kujiita Mabingwa wakati wakijua wazi huu ni mwaka wa pili Mabingwa ni Simba. Sasa hivi ukisoma taarifa zao za usajili utaona wameandika mchezaji fulani...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Sisi wahafidhina tumesikitishwa sana na matokeo ya jana ambapo Leo Messi na timu yao Barcelona imewapeleka Liverpool fainali kwa uzembe wao. Matatizo yote yalianzia mechi ya kwanza, wakati wa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kama kuna jambo lililoumiza wapenzi wa mpira wasio washabiki wa mpira, ni kitendo cha Ramos kufanya niseme dirty game au faulo mbaya ambayo alimfanyia Mo Salah Binafsi pia nilijiskia vibaya, ila...
2 Reactions
173 Replies
18K Views
Meddie Kagere akiwa na tuzo yake. Unaizungumziaje tuzo hii? Kwako mwalimu Kashasha
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Mshambuliaji wa zamani wa timu ya Arsenal na timu ya Sevilla Jose Reyes amefariki kwa ajali ya barabarani. Klabu yake ya zamani sevilla imethibitisha.
4 Reactions
28 Replies
5K Views
Back
Top Bottom