1.Allison Becker katika kiwango bora.
Hakuna shaka katika kipindi cha kwanza Tottenham Hotspurs hawakuwa bora katika kushambulia kwani hawakufanikiwa kupiga shuti lolote ambalo lilifanikiwa kuweza...
Klabu ya Azam FC imetwaa Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup, baada ya kuichapa Lipuli FC bao 1- 0 katika mchezo wa Fainali ulifanyika leo Juni 1, 2019 kwenye Uwanja wa Ilulu mkoani...
Inaripotiwa kuwa kuna uwezekano wa timu ambazo zilitinga hatua ya robo fainali ya klabu Bingwa Afrika CAF Champions League msimu huu wa 2018/2019 na msimu ujao wa 2019/2020 zitakutana na timu moja...
Mimi napenda sana football napenda kuona mataifa mbalimbali yanapozipa kipaumbele team zao na hata kuzigharamia kwenda mataifa ya nje kujifua ili kujiandaa na AFCON. Nasikitika sioni kabisa amsha...
Sijawahi kujua vuzuri ubora wa Soso uwanjani ila huyu mchezaji wa Lipuli FC ameitwa timu ya taifa kwenda AFCON.
Ni mchezaji mvivu, hajui kukaba, hana pumzi, hajui tackling.
Anachoweza yeye ni...
Ibenge na wasaidizi wake wamepewa jukumu la kuhakikisha congo wnaachukua ubingwa wa AFCON kitu ambacho ni impossible hata yeye kakiri ni ngumu so baada ya afcon tutarajie zahera tofauti wa yanga...
Habari zenu!
Baada ya kukaa nje kwa muda toka alivyopishana na bodi na wachezaji wa klabu ya Chelsea Fc hatimaye kocha mwenye mzuka wa kushangilia na mbinu nyingi amerejea tena lakini katika ligi...
Siku hizi naona kama ratiba za mpira wa miguu zinaenda sawa katika Nchi nyingi duniani. Leo pale uwanja wa Ilulu Lindi mjini utapigwa mtanange wa kusaka timu itakayo wakilisha Nchi katika michuano...
Habari za wakati huu wana jamvi
Jana kulikua na tukio kubwa sana la ugawaji wa tuzo za wachezaji waliofanya vizuri katika timu ya Simba Sports Club
Ikumbukwe tuzo hizi zinafanyika kwa mara ya...
Moderator naomba uedit heading, isomeke kumtosa. Asante.
Binafsi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa soka la africa. Ila nilikuwa nyuma kuhusu atmosphere ya Zambia kwenye masuala ya soka. Juzi katika...
hii ni kwa mujibu wa list ya hadi tarehe 30 may 2019. simba ni ya 20 afrika, ya kwanza east and central africa ikifuatiwa na gor mahia ya kenya ambayo ni ya 23 afrika, ya tatu ni kcca ya uganda...
Category zinazoshindaniwa
Mandhari saaafi ya ukumbi
Kocha na baadhi ya wanandinga wakiwa wamewaka
Kijana mdogo MK14 so clean so fresh
Tukio hili lipo mubashara Azam TV
Tayari mgeni rasmi...
Viongozi wa Yanga na Kocha Wao Zahera huwa wanadhani huko kuna Wachezaji mpira hasa wale wa Kutoka nchini Rwanda wa ' bure bure ' ili waweze Kuwasajili kwa Msimu ujao ambapo kuna uwezekano hata...
Kuelekea michuano ya Afcon 2019 mwezi ujao jirani zetu timu ya taifa ya kenya Leo asubuhi wameondoka Kenyatta int airport kwenda ufaransa watakapoweka kambi ya Wiki tatu kujiandaa na michuano hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.