Baada ya wababe wao Kagera sugar kushuka daraja, ni vifijo na nderemo tu. Ikumbukwe klabu ya Simba haina rekodi nzuri kwa kagera kwa misimu miwili mfululizo.
Msimu wa 2017/2018 mbele ya mgeni...
Mchezaji na nahodha wa timu ya Aston Villa iliyofanikiwa kupanda daraja baada ya kuifunga Derby County goli 2-1, Jack Grealish aeleza sababu za kuvaa viatu vilivyochakaa kwenye mchezo huo
Amesema...
Samatta angekua Simba leo angekua Genk? Simba inatamani kuwa kama Mazembe lkn bado haiwezi kufikia level za Mazembe mwaka leo wala kesho.
1. Kumiliki uwanja
2. Kuwa timu yenye ushindani CCL.
3...
Unakuja Simba SC mdogo wangu hapo utapata Namba ya nani? Kwanini hupendi kusikia Mawazo ya Kaka zako ambao tunakupenda Ibra? Hivi kweli kwa Mfumo wa Kocha Aussems Wewe utapata Namba kweli ndani ya...
Mechi ya kirafiki chini ya udhamini wa Sportpesa Kati Simba na Sevilla ya Uhispania inatarajiwa kuanza saa moja usiku.
Ikumbuke Simba haijawahi kufungwa uwanja wa Taifa mechi yoyote ya kimataifa...
Baada ya Yanga kuwasilisha documents zote zinazousu mchezaji Ibrahim Ajib kwa TP Mazembe Kama walivyoomba
TP Mazembe wameijibu Yanga kwamba wamejitoa katika mbio za kukamilisha usajili wa Ajibu...
Azam wanaitangaza sana game ya Kiba vs Samata, nimejiuliza ni nani aliyefikiria kuleta game hii? Lengo lake nini? Kwanini watanzania hatupendi kuwa serious wakati mwingine? Tupo nyuma sana katika...
Hili jambo Linanikera sana mimi binafsi
Samatta amekuwa ndio kipenzi cha Serikali kwa wachezaji wanaopiga gozi nje ya nchi, anazungumzwa bungeni, anazungumzwa yeye peke yake ni Kama...
Bilionea kutoka familia ya Kifalme Abu Dhabi, Sheikh Khaled Bin Zaed Al Nahyaan yuko katika hatua ya mwisho kuinunua New Castle United kwa kitita cha pauni Milioni 350.
Sheikh Khaled yupo katika...
Maarufu kama kwa mkapa.Huu ni uwanja wa taifa letu Tanzania upo Chang'ombe-jirani na Chuo cha ualimu Duce au kambi ya JKT-mgulani.
Uwanja huu umejengwa kisasa lakin miundombinu ya uwanja huu ni...
Ushabiki tuweke kando, ligi yetu ya Tanzania bara ipo corrupted, kuanzia daraja la kwanza ndiyo madudu kabisa, ligi kuu bingwa anaandaliwa kabla ligi kuchezwa
Tatizo lipo TFF, nachelea kusema...
Je, Samatta kucheza Klabu Bingwa Ulaya na Genk ama kutimkia England msimu ujao?
Samatta amefunga zaidi ya magoli 30 msimu huu akaiwa na klabu ya Genk.
Mshambuliaji nyota wa mabingwa wa ligi ya...
Wakuu naombeni ufafanuzi kidogo kwa mwenye ufahamu kuhusu mfumo wa usajiri wa wachezaj bongo. Tunaposema mchezaji kasajiriwa kwa dau la 80 million mfano, tafsiri yake ni nini? I mean in terms of...
katika ushabiki wangu wa muda mrefu wa mpira wa soka kuanzia mwaka 1995 (nilianza kushabikia mpira) nimefanikiwa kuona wachezaji wa aina nyingi kutoka mataifa mbalimbali wengi wao wakiwa na vipaji...
Kikosi cha Simba SC dhidi ya Biashara United
Mchezo unapigwa saa 9 alasiri Uwanja wa Taifa. Simba tutakabidhiwa rasmi ndoo ya ubingwa wa nchi na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Kangi Lugola...
Baada ya mpira kuisha leo wachezaji wa Simba wameonekana wakiomba viatu kwa kubembeleza kwa wachezaji wa Sevilla.
Simba ni klabu inayojinasibu kama klabu tajiri Tanzania na imejitosheleza lakini...
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) mnapaswa kuionea huruma Lipuli Fc, timu hii inashiriki mashindano mawili yaani Ligi kuu na shirikisho lakini mara nyingi ratiba inazokutana nazo ni kama...
Wapenzi wa Soka mliopo nyumbani na wenye visimbuzi vya Azam Tv unaweza ukaweka MUTV Channel 404 ukajionea mechi ya kumbukumbu ya miaka 20 tangu Manchester United walipotwaa TREBLE!! Kuna wachezaji...
Leo nilijaribu kujipa kazi ya kufuatilia maendeleo ya timu za Afrika ambazo wachezaji wetu wa kulipwa wanazichezea huko. Wachezaji ambao nimefuatia timu zao ni Himid mao Mkami (Petrojet-Misiri)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.